Utafiti huru

Kwa hiyo ni kwamba wapenzi wa Yanga ni wepesi kukereka kuliko wa Simba?
Ndiyo ukweli kwani wachambuzi wa wengi wa EFM na EA Radio ni Yanga na Wasafi wote ni Yanga na kutwa kucha kuinanga Simba lakini wana Simba wanawapuuza kwani mpira huchezwa uwanjani na sio studio za Radio.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kuna kitu ufahamu sababu kubwa ya jemedari kuiponda yanga ni bifu na manara na pia za ndani zinasema alitoswa ktk nafasi pale yanga na huyo ni yanga lia lia na pia sababu ya pili hao wengine wao wapo kiprofenalism hawana kuogopa wachambuzi wengi ni njaa wanapenda kusifaia sifia na halfu Yanga ni timu ya wanancchi wakati Simba ni timu ya wenye nchi hivyo wachambuzi wengi wanapenda uchawa ili wapaate hela kutoka kwa gsm wakati Simba hayo mambo hakuna that why wengi wanaogopa kuponda Yanga akitokea mtu anasema ukweli inakuwa nongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…