SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Ndiyo ukweli kwani wachambuzi wa wengi wa EFM na EA Radio ni Yanga na Wasafi wote ni Yanga na kutwa kucha kuinanga Simba lakini wana Simba wanawapuuza kwani mpira huchezwa uwanjani na sio studio za Radio.Kwa hiyo ni kwamba wapenzi wa Yanga ni wepesi kukereka kuliko wa Simba?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app