I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Siku hizi ni computerizedKulingana na tafiti ya the Institute of Medicine (IOM)- 2006, majeruhi 1.5 million kila mwaka hutokana na wafamasia ,waudumu wa afya kushindwa kusoma maandiko ya madaktari. Vifo zaidi ya 7000 hutokana na mgonjwa kupatiwa dawa isiyo sahihi tofauti na maelezo ya madaktari.View attachment 1790219
Muda mwingine hata madaktari wenyewe hushindwa kusoma nini wameandika kwenye maandiko yao wenyewe, hata hivyo sababu kubwa ya kuwa na miamdiko hiyo ni kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa wanaotakiwa kuonwa kwa muda mchache, notes na prescription zinazotakiwa kuandikwa kwa muda mfupi.
Unamatatizo, hujui kua ni haki ya mgonjwa kujua ugonjwa unaomsumbua?Kwa hio mnataka mjue walichokuandikia ili mfie hospitali.
Akikuandokia kuwa Ini lako limeoza lote utafika nyumbani kweli.
Kulingana na tafiti ya the Institute of Medicine (IOM)- 2006, majeruhi 1.5 million kila mwaka hutokana na wafamasia ,waudumu wa afya kushindwa kusoma maandiko ya madaktari. Vifo zaidi ya 7000 hutokana na mgonjwa kupatiwa dawa isiyo sahihi tofauti na maelezo ya madaktari.View attachment 1790219
Muda mwingine hata madaktari wenyewe hushindwa kusoma nini wameandika kwenye maandiko yao wenyewe, hata hivyo sababu kubwa ya kuwa na miamdiko hiyo ni kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa wanaotakiwa kuonwa kwa muda mchache, notes na prescription zinazotakiwa kuandikwa kwa muda mfupi.
Madokta wengi wana upumbavu huu kuandika dawa bila mkumpa mgonjwa taarifa vipimo vimetoa majibu gani.Unamatatizo, hujui kua ni haki ya mgonjwa kujua ugonjwa unaomsumbua?
Duh !View attachment 2115633
Naomba niseme, daktari kuandika muandiko wa mchararango sio kipimo cha IQ kubwa wala akili nyingi ni upuuzi tu uliokutwa na kuendelezwa.
Watu wanapewa dawa zisizo zenyewe kwa kushindwa kusoma hii miandiko, nimeshuhudia sana wauzaji wa maduka ya madawa wanatoa dawa zisizo kwasababu ya kushindwa kusoma hii miandiko.
Mimi nipo pia kwenye sekta ya afya nashuhudia wauzaji wengi wa maduka ya dawa wanakimbiliaga kwenye magrouP ya WhatsApp kuomba msaada wa kusomewa dawa iliyoandikwa na daktari.
Hakuna sehemu yoyote kwenye mtaala wa madaktari wamefundishwa waandike hvyo majina ya dawa, huu ni usumbufu na kufanya watu wanaenda maduka ya dawa wanapewa dawa tofauti.
Wengine huwa tunawapa dawa tunazojua sisi, nikishindwa kusoma miandiko naangalia diagnosis ni ugonjwa gani nampa dawa ninazojua mimi.
Kwanini kwenye ripoti zenu na muwapo shule hamuandiki huo ujinga?
Naomba serikali ipige marufuku hili swala kwani wagonjwa wengi waendapo maduka ya dawa hupewa kitu tofauti na kilichoandikwa