Utafiti-internet yapunguza nguvu za uzazi.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
wanayasansi toka marekani na Argentina wamefanya utafiti na umeonyesha kuwa Mtandao wa internet kwenye komputa za mkononi"Wirele7 internet" kwenye laptop,Una madhara kwa viungo vya uzazi.
Timu ya wanasayansi kutoka Taasisi ya Nascentis Center For Reproductive medicine iliyopo Cordoba,,Argentina kwa kushirikiana na wanasayansi wa Marekan wa Taasisi ya Eastern Virginia Medical school.

Watakao athirika zaidi ni Wale wenye tabia za kuweka laptop kwenye Mapaja.
Mbegu za Mwanaume huaribika kwa Electromagnet zinazotolewa na Wireles internet.
Source. Kimataifa-uhuru
 
Tobaaaaa...nimeanza kutumia Internet nikiwa nina miaka 7 kwahiyo hadi sasa hivi mie kwishney.
 
Mhh...kazi tunayo, kila kitu kina madhara!!! Lakini unadhani tutaishi milele???ukikwepa magonjwa, ajali zinatusubiri...tujisalimishe kwa mungu tuu!!
 
walichukua mbegu za kiume za wanaume 29 wenye afya njema wenye umri kati ya miaka 26 mpaka 45,zilikusanywa na kugawanywa makundi mawili.
Kundi moja la mbegu za kiume liliwekwa chini ya laptop inayotumia Wireless internet na jingine liliwekwa mbali na laptop zinazotumia wireles internet.

Matokeo,Robo ya mbegu za kiume zilizokuwa chini ya laptop yenye Wireles internet ziliuliwa ndani ya Masaa machache.Vinasaba vya binadamu vya mbegu za kiume ziliharibiwa vibaya
Kundi jingine zilizokuwa mbali na laptop hzo hazikuonyeshwa kupata na Madhara yoyote zaidi ya kupungua kidogo sana kwa kasi ya kuogelea.
 
Dr conrado avendano,alieongoza utafit huo alisema hawajui kama laptop zote zina madhara hayo.
 
mmmm mimi tayari ninawatoto...Kwa wale hawana kazi kwako
 
Dah! Kwahiyo mbegu zinahamia kwenye laptop...lol
 
Napenda sana kuzungumzia conclusive proof. Sasa tuone wale watu wenye kutegemea tafiti zisizo na ushahidi wa kutosha kuleta hitimisho kama wataacha kutumia kompyuta.
 

Hizo mbegu za wazungu. Waje hapa bongo waone jinsi tulivyo ngangari kipande hiyo. Nyoooo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…