Kaka mkali mie nakusalimu kwa amani ya bwana.Napenda sana kuzungumzia conclusive proof. Sasa tuone wale watu wenye kutegemea tafiti zisizo na ushahidi wa kutosha kuleta hitimisho kama wataacha kutumia kompyuta.
Swahiba uko mbeleni iko siku utasikia laptop zina uwezo wa kumpa mwanamke mimbaHahaha!
Swahiba nisaidie si unaona nimeacha kutumia laptop natumia simu ili nguvu zangu zirudiKukuacha itakuwa ngumu swahiba, nacheki namna nzuri ya kukusaidia.
Kaka mkali mie nakusalimu kwa amani ya bwana.
Naitaka ndiyo, lol.Bado unataka ile laputopu?
Hahahaaaah! Na ndipo tunapoelekea huko....Swahiba uko mbeleni iko siku utasikia laptop zina uwezo wa kumpa mwanamke mimba
Aisee haka kautafiti niliisha kafanyia kazi and it works wondersMimi nitaendelea kuweka laptop yangu juu ya mapaja 7bu MBEGU ZA KIUME zinasaidia kuongeza speed kwenye internet. Net inafunguka fasta, jaribu kuweka juu ya meza na juu ya paja utaona tofauti yake.
Lol, hili nalifanyia kazi haraka usijal.Swahiba nisaidie si unaona nimeacha kutumia laptop natumia simu ili nguvu zangu zirudi
Khaaa! Swahiba na sisi wa jinsia ya tofauti je? Tuwe tunaziweka wapi?Aisee haka kautafiti niliisha kafanyia kazi and it works wonders
Naitaka ndiyo, lol.
Swahiba inabidi kuwe kuna laptop za wanaume na wanawake maana nikikupa laptop yangu kutumia nakuwa nimekupa mbegu zangu za kiume zilizopo kwenye laptop matokeo yake unakuwa pia na mbegu za kiume aisee hatari sana hiiKhaaa! Swahiba na sisi wa jinsia ya tofauti je? Tuwe tunaziweka wapi?
Lol, kwani na wewe huna mtoto hata mmoja? Nitumie zote mimi siogopi.Mi staki tena...na hii yangu ntakupa.
Hahahaha! Nikivunjika mbavu utanipeleka india ujue, lolSwahiba inabidi kuwe kuna laptop za wanaume na wanawake maana nikikupa laptop yangu kutumia nakuwa nimekupa mbegu zangu za kiume zilizopo kwenye laptop matokeo yake unakuwa pia na mbegu za kiume aisee hatari sana hii
Mhhh hapo kwenye red bold haiwezekani ikawa wewe,jinsi nikutambuavyo kupitia keyboard nadhan itakuwa unamaanishaduh, ndo mana mwaka wa 8 mke wangu hana hata dalili za kuomba ndimu.