Utafiti: Jamiiforums mtandao wenye watumiaji wachoyo wa likes

wanasoma comment, ila kama comment yako haina maana yoyote katika Mada. hawawezi kulike

Kwa mfano kwa ulichokiandika kweli unategemea LIKES kutoka kokote??
Kama unavyoona mpaka asa ivi huna kitu.

Ndiyo ujue kutofautisha JF na FB au IG.....kama comment haina mashiko hamna anayejielewa kugonga like..
Sometimes si uzito wa hoja ndio unaotoa likes, unaweza kuta mtu ameeandika ujumbe nzuri tu asipate likes hata moja, ila ukiandika tu Bashite likes 40. Ukitaka kupata likes nyingi tukana serikali maana memba wengi wapo upande huo
 
Kulingana na uwepo wa mitandao mingi yenye kitufe cha kutoa likes, JamiiForums ikiwa miongon mwao , japokuwa inanjia rahisi ya kutoa likes kwa wanaocomment na kushare vitu vya msingi, lakini mara nying mwenye likes nyingi ni 5 tu
Hii inaonesha ni kwakiasi gan watumiaji wamekuwa wavivu wa kusoma comments za wenzao na kuwapongeza , imefikia hatua mpaka watu wanaomba kupewa likes
Tujivunie social media yetu jaman , ngoga likes tembea
No body likes to coment on;
1. Shit
2. Ambiguities
3. Things beyond their t. Capacity
 
Kulingana na uwepo wa mitandao mingi yenye kitufe cha kutoa likes, JamiiForums ikiwa miongon mwao , japokuwa inanjia rahisi ya kutoa likes kwa wanaocomment na kushare vitu vya msingi, lakini mara nying mwenye likes nyingi ni 5 tu
Hii inaonesha ni kwakiasi gan watumiaji wamekuwa wavivu wa kusoma comments za wenzao na kuwapongeza , imefikia hatua mpaka watu wanaomba kupewa likes
Tujivunie social media yetu jaman , ngoga likes tembea
Nimejikuta nalazimika kupitia theads zako zote.......
Nilicho kigundua ni unaanzisha threads ambazo hazina mashiko, alafu unakuja kulalamika kwamba unanyimwa like....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Kulingana na uwepo wa mitandao mingi yenye kitufe cha kutoa likes, JamiiForums ikiwa miongon mwao , japokuwa inanjia rahisi ya kutoa likes kwa wanaocomment na kushare vitu vya msingi, lakini mara nying mwenye likes nyingi ni 5 tu
Hii inaonesha ni kwakiasi gan watumiaji wamekuwa wavivu wa kusoma comments za wenzao na kuwapongeza , imefikia hatua mpaka watu wanaomba kupewa likes
Tujivunie social media yetu jaman , ngoga likes tembea
Na ukumbuke kuwa huku watu wana reasoning
 
mkuu mbona ww mpaka sasa una like 12 sio tena tano... anyway ukitumia APPS ya JF direct from play store inakua hvo but ukitumia web kawaida ndio unaonana idadi ya like zote... NB: wana JF wanaangalia mashiko ya mada husika ndio unapata like,Unaweza andika thread ndefu usiambulie like afu mtu anakupitia na comment ndogo anaondoka na like za kutosha
 
sio kweli mbona mimi kuna post moja nilicoment na hiyo coment ina *likes 70*!
 
Hizo likes zinakuongezea kiasi gani kwenye account yako ya benki?
 
Kwa JF majukwaa yenye followers weng ni celebrities forum, jukwaa la siasa na la mapenz, ila likes kwa kila thread ikizid sana ni 5 cjui ndo mwisho au vip
Likes zipo nyingi,ila kwenye app unaziona mwisho 5 tu, mfano hii post yako ina likes 17, utaziona ukiingia kupitia browser ial kupitia app utaziona 5 tu
 
Back
Top Bottom