miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
kweliukitumia free basic.utaona like kibao. na kibaya ni kwamba ukitaka kulike huwezi .na mara nyingi unashindwa kulike kitu amabacho umekipenda. unaishia kupita tu
wanasoma comment, ila kama comment yako haina maana yoyote katika Mada. hawawezi kulike
Kwa mfano kwa ulichokiandika kweli unategemea LIKES kutoka kokote??
Kama unavyoona mpaka asa ivi huna kitu.
Sometimes si uzito wa hoja ndio unaotoa likes, unaweza kuta mtu ameeandika ujumbe nzuri tu asipate likes hata moja, ila ukiandika tu Bashite likes 40. Ukitaka kupata likes nyingi tukana serikali maana memba wengi wapo upande huoNdiyo ujue kutofautisha JF na FB au IG.....kama comment haina mashiko hamna anayejielewa kugonga like..
No body likes to coment on;Kulingana na uwepo wa mitandao mingi yenye kitufe cha kutoa likes, JamiiForums ikiwa miongon mwao , japokuwa inanjia rahisi ya kutoa likes kwa wanaocomment na kushare vitu vya msingi, lakini mara nying mwenye likes nyingi ni 5 tu
Hii inaonesha ni kwakiasi gan watumiaji wamekuwa wavivu wa kusoma comments za wenzao na kuwapongeza , imefikia hatua mpaka watu wanaomba kupewa likes
Tujivunie social media yetu jaman , ngoga likes tembea
Kula like[emoji106] hyo, yan ht kwng naeza ona notification za like kibao ila nikifungua naona 5 tu, hata zaile 5 zikifika zitakazofuatia hazionekani!kama una tumia app ya jf utaona tano tu ila ukiingia bila app sijui wanitaje hii njia like zinafikia hadi laki moja
Nimejikuta nalazimika kupitia theads zako zote.......Kulingana na uwepo wa mitandao mingi yenye kitufe cha kutoa likes, JamiiForums ikiwa miongon mwao , japokuwa inanjia rahisi ya kutoa likes kwa wanaocomment na kushare vitu vya msingi, lakini mara nying mwenye likes nyingi ni 5 tu
Hii inaonesha ni kwakiasi gan watumiaji wamekuwa wavivu wa kusoma comments za wenzao na kuwapongeza , imefikia hatua mpaka watu wanaomba kupewa likes
Tujivunie social media yetu jaman , ngoga likes tembea
Na ukumbuke kuwa huku watu wana reasoningKulingana na uwepo wa mitandao mingi yenye kitufe cha kutoa likes, JamiiForums ikiwa miongon mwao , japokuwa inanjia rahisi ya kutoa likes kwa wanaocomment na kushare vitu vya msingi, lakini mara nying mwenye likes nyingi ni 5 tu
Hii inaonesha ni kwakiasi gan watumiaji wamekuwa wavivu wa kusoma comments za wenzao na kuwapongeza , imefikia hatua mpaka watu wanaomba kupewa likes
Tujivunie social media yetu jaman , ngoga likes tembea
nime kula mkuuKula like[emoji106] hyo, yan ht kwng naeza ona notification za like kibao ila nikifungua naona 5 tu, hata zaile 5 zikifika zitakazofuatia hazionekani!
kumbe ni adroid tu?Unatumia App ya JF kwenye Android ndio maana unaona like tano kwa kila mtu. Ukitumia PC na Laptop utaona like nyingi.
Tafadhali mods liangalieni hili
mkuu mbona ww mpaka sasa una like 12 sio tena tano... anyway ukitumia APPS ya JF direct from play store inakua hvo but ukitumia web kawaida ndio unaonana idadi ya like zote... NB: wana JF wanaangalia mashiko ya mada husika ndio unapata like,Unaweza andika thread ndefu usiambulie like afu mtu anakupitia na comment ndogo anaondoka na like za kutoshaKulingana na uwepo wa mitandao mingi yenye kitufe cha kutoa likes, JamiiForums ikiwa miongon mwao , japokuwa inanjia rahisi ya kutoa likes kwa wanaocomment na kushare vitu vya msingi, lakini mara nying mwenye likes nyingi ni 5 tu
Hii inaonesha ni kwakiasi gan watumiaji wamekuwa wavivu wa kusoma comments za wenzao na kuwapongeza , imefikia hatua mpaka watu wanaomba kupewa likes
Tujivunie social media yetu jaman , ngoga likes tembea
Likes zipo nyingi,ila kwenye app unaziona mwisho 5 tu, mfano hii post yako ina likes 17, utaziona ukiingia kupitia browser ial kupitia app utaziona 5 tuKwa JF majukwaa yenye followers weng ni celebrities forum, jukwaa la siasa na la mapenz, ila likes kwa kila thread ikizid sana ni 5 cjui ndo mwisho au vip