Utafiti: Je, umeolewa ukiwa bikira au umeoa mwanamke bikira?

Je umeolewa ukiwa bikra? au je umeoa mwanamke bikra?

  • Ndio

  • Hapana

  • Sijui


Results are only viewable after voting.

Mr Bean

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
206
Reaction score
178
Habari zenu,

leo ningependa kufanya utafiti mdogo tu juu ya wanawake walio olewa wakiwa bikra katika miaka mitano (5) ilopita. sample space yangu itakua ni hii JF jukwaa la MMU.

kura zote zitakua siri, hakuna ataejua kama wewe uli vote wapi.

Na ili uweze kuona majibu/matokeo ni lazima upige kura.

asanteni
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] jamani jamani!ila wapo japo sio Mimi!maana tulichakachuana kwanza ndo tukaingia kifungoni!
Ni kama kuokota almasi kariakoo!
 
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kukuta mfupa kwa mbu!!ila dah kizazi chetu hiki cha 1980's kuja juu kina mtihani!
cha 90s ndio balaa...unajua aliezaliwa 1990 sasa hivi ana 28yrs!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…