Utafiti: Je, umeolewa ukiwa bikira au umeoa mwanamke bikira?

Utafiti: Je, umeolewa ukiwa bikira au umeoa mwanamke bikira?

Je umeolewa ukiwa bikra? au je umeoa mwanamke bikra?

  • Ndio

  • Hapana

  • Sijui


Results are only viewable after voting.
Nitatoa 10,000 kwa kila alieolewa bikra humu....najua pesa yangu iko salama!🙂🙂🙂
T&C apply.
hahaa mkuu itabidi uandae buku 20.. maana majibu yanaonesha wawili wameolewa wakiwa bikra humu
 
Ni bora wajitokeze tu maana hali inasemekana siku hizi hii kitu haipo kabisa
 
Mbona bikra wa kiume hatupewi kipaombele sana.
 
Whaaaaat? Utapimaje bikra iliyotolewa miaka kadhaa nyuma?[emoji848][emoji848][emoji848]
Utanionesha cheti cha ndoa, then napima najua kama ilikuwepo hadi muda huo unaolewa.
 
Back
Top Bottom