Utafiti: Je, umeolewa ukiwa bikira au umeoa mwanamke bikira?

Je umeolewa ukiwa bikra? au je umeoa mwanamke bikra?

  • Ndio

  • Hapana

  • Sijui


Results are only viewable after voting.
Nitatoa 10,000 kwa kila alieolewa bikra humu....najua pesa yangu iko salama!πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
T&C apply.
hahaa mkuu itabidi uandae buku 20.. maana majibu yanaonesha wawili wameolewa wakiwa bikra humu
 
Ni bora wajitokeze tu maana hali inasemekana siku hizi hii kitu haipo kabisa
 
Mbona bikra wa kiume hatupewi kipaombele sana.
 
Mbona bikra wa kiume hatupewi kipaombele sana.
bikra ya mwanamke ni tangible
bikra ya mwanamme ni intangible.
who cares of what you can't see or touch ?
 
Whaaaaat? Utapimaje bikra iliyotolewa miaka kadhaa nyuma?[emoji848][emoji848][emoji848]
Utanionesha cheti cha ndoa, then napima najua kama ilikuwepo hadi muda huo unaolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…