Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Namshukuru mungu mwingi wa rehema aliye kupa ww ndio kaninyima mimHahahahhahha
Mzima lakini?
Ajambo...kanatabasamu tu hapaNamshukuru mungu mwingi wa rehema aliye kupa ww ndio kaninyima mim
Akajambo prety girl wangu
Wow kaambie Baba ake atakuja kukasabi tuuu nw bado anatafuta bado hajapataAjambo...kanatabasamu tu hapa
Kila siku ahadi..khaaaa!!Wow kaambie Baba ake atakuja kukasabi tuuu nw bado anatafuta bado hajapata
Hapana bhana unajua nw day hata sijui niseme vp bass tuuu life limekaba kwa kuwa wew mtu mzima utakuwa umenielewaKila siku ahadi..khaaaa!!
Haka katoto kanauelewa mkubwa..nimekaambia tayari kameguna..kanajua baba ake muongomuongo
Hahahahha..poleHapana bhana unajua nw day hata sijui niseme vp bass tuuu life limekaba kwa kuwa wew mtu mzima utakuwa umenielewa
Walai nakwambia mama prety girl 1 day yes trust miHahahahha..pole
Acha niendelee kukadanganya kwa chipssnack hakuna namna
Sawa Baba pretyWalai nakwambia mama prety girl 1 day yes trust mi
Kitambo kidogo sija play party yangu kama baba jaman daaaaahSawa Baba prety
Hatuna shida tunasubiri tu iyo siku
Ukatafute sasa ili uje uplay hiyo part Baba pretyKitambo kidogo sija play party yangu kama baba jaman daaaaah
Ah ah ah ah ah ah kwaiyo nikikosa siluhusiwi sio.....!!!!Ukatafute sasa ili uje uplay hiyo part Baba prety
Weee tafuta kwanza..hayo mengine baadaeAh ah ah ah ah ah kwaiyo nikikosa siluhusiwi sio.....!!!!
Ngoja waje tuwaone wenye kheri zao[emoji16]Poa shost wangu mie nawasubiri mabikra
Kwenye bahati zao shoga angu na bikra zao [emoji16]Ngoja waje tuwaone wenye kheri zao[emoji16]
He heheee...wanajitaftia magonjwa tuu...labda under 14Kwenye bahati zao shoga angu na bikra zao [emoji16]
HahaaaaaNitatoa 10,000 kwa kila alieolewa bikra humu....najua pesa yangu iko salama!πππ
T&C apply.