Utafiti: Joe Biden (Democrat) ana nafasi ya kushinda katika Uchaguzi wa Marekani kwa 71.1%

Utafiti: Joe Biden (Democrat) ana nafasi ya kushinda katika Uchaguzi wa Marekani kwa 71.1%

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Joe Biden stands a 71.1% chance of winning the Electoral College, according to the Sept. 7 run of poll aggregator FiveThirtyEight’s election forecasting model. He is predicted to win 334 of 538 electoral votes.
  • The model estimated Donald Trump’s chances at 28.4%
  • According to the Sept. 7 run of the model, Trump had a 15.9% chance of carrying the popular vote, compared with Biden’s 84.1%
  • The national polling average for Trump reached 42.9% on Sept. 7, the same as on Sept. 6
  • Biden’s national polling average reached 50.6% on Sept. 7 compared with 50.5% on Sept. 6
  • These were the FiveThirtyEight’s forecasts and polling averages by state on Sept. 7:

  • StateElectoral Votes2016 WinnerTrump Poll AvgBiden Poll AvgTrump Win ChanceBiden Win Chance
    Alabama9Trump57.4%38.4%98.0%2.0%
    Alaska3Trump49.6%45.0%80.7%19.3%
    Arizona11Trump43.7%48.9%39.4%60.6%
    Arkansas6Trump47.0%45.0%93.8%6.2%
    California55Clinton30.9%61.3%0.2%99.8%
    Colorado9Clinton40.1%52.3%13.6%86.5%
    Connecticut7Clinton34.4%53.8%1.8%98.2%
    Delaware3Clinton38.4%57.3%0.3%99.7%
    District of Columbia3Clinton0.0%0.0%0.0%100.0%
    Florida29Trump45.5%48.6%42.1%57.9%
    Georgia16Trump46.6%45.6%68.1%31.9%
    Hawaii4Clinton30.3%56.7%1.2%98.8%
    Idaho4Trump0.0%0.0%99.4%0.6%
    Illinois20Clinton0.0%0.0%0.5%99.5%
    Indiana11Trump53.0%38.4%95.4%4.6%
    Iowa6Trump46.2%45.1%68.5%31.5%
    Kansas6Trump50.7%41.0%92.8%7.2%
    Kentucky8Trump55.1%39.7%97.7%2.3%
    Louisiana8Trump53.2%39.3%92.5%7.4%
    Maine4Clinton40.1%50.7%21.9%78.1%
    Maryland10Clinton35.1%59.6%0.2%99.8%
    Massachusetts11Clinton29.5%63.6%0.2%99.8%
    Michigan16Trump42.4%49.6%17.2%82.8%
    Minnesota10Clinton44.0%50.7%23.0%77.0%
    Mississippi6Trump53.6%40.8%87.8%12.2%
    Missouri10Trump49.6%43.5%90.2%9.8%
    Montana3Trump51.4%43.2%88.5%11.5%
    Nebraska5Trump0.0%0.0%98.5%1.5%
    Nevada6Clinton41.1%46.3%21.1%78.9%
    New Hampshire4Clinton43.2%50.7%27.9%72.1%
    New Jersey14Clinton35.6%54.1%3.6%96.4%
    New Mexico5Clinton41.3%53.8%7.2%92.8%
    New York29Clinton33.2%59.7%0.2%99.8%
    North Carolina15Trump46.6%48.7%47.4%52.6%
    North Dakota3Trump55.9%38.0%98.9%1.1%
    Ohio18Trump47.2%46.0%60.5%39.5%
    Oklahoma7Trump58.4%34.6%99.3%0.7%
    Oregon7Clinton0.0%0.0%8.2%91.8%
    Pennsylvania20Trump44.9%49.7%30.3%69.7%
    Rhode Island4Clinton0.0%0.0%1.4%98.6%
    South Carolina9Trump49.6%43.5%87.7%12.3%
    South Dakota3Trump0.0%0.0%96.7%3.3%
    Tennessee11Trump53.5%40.1%95.7%4.3%
    Texas38Trump47.1%46.6%71.3%28.7%
    Utah6Trump48.9%36.2%95.4%4.6%
    Vermont3Clinton0.0%0.0%0.8%99.2%
    Virginia13Clinton40.4%51.1%6.0%94.0%
    Washington12Clinton33.3%58.8%1.1%98.9%
    West Virginia5Trump64.6%32.4%99.3%0.7%
    Wisconsin10Trump43.1%50.3%25.1%74.9%
    Wyoming3Trump0.0%0.0%99.8%0.2%

Biden Has 71.1% Chance of Winning Election: FiveThirtyEight
 
Habaru feki tu hizi na hizi polls hazijawahi kuwakilisha watu wote, Poll inaweza hata kufanyika sebulenu kwa Joe biden watoto wake wakawa wanaulizwa nani atashinda, baba yao au trump 😁😁.

Trump huu uchaguzi ashashinda, inashangaza hata idara za usalama kama mapolisi wameapa kumpa kura, hii ni nadra sana, Wafanyabiashara wanaovhomewa biashara zao na magenge ya kihalifu yanayotumia mgongo wa black lives matter watampigia kura trump maana chama cha biden kinahamasisha sana hizi. vurugu.

Trumo ana ushindi mnono sana
 
Zamani nilikuwa natumia page ya CNN kama chanzo changu cha habari kutoka Marekani. Kwa post na comment za wadau wa ile page, nilikuwa najiuliza jamaa alishindaje uchaguzi maana post na comment ni negative dhidi ya Trump.

Ila siku moja nikaingia kwenye page ya fox news, nilishangaa kuona kumbe na haya mambo ya media kuegemea upande mmoja hata Marekani yapo 🤔🤔🤔. Jamaa ana uungwaji mkono vibaya mno katika page ya fox news na ndio inaongoza kwa kuwa na like na comment nyingi zaidi ya CNN na inasemekana kwamba popularity ya fox media inakuwa kubwa kwa sababu ya kuegemea upande wa Trump.
 
Mimi nadhani matatizo huanzia hapo kwenye nguvu za kiume. Kwani yeye mgombea anasemaje kama si ubaguzi? Hakuna mtu atakubali, kama corona ipo tu. Na hiyo itabaki kuwa kweli hata kama uchi unanuka
 
Zamani nilikuwa natumia page ya CNN kama chanzo changu cha habari kutoka Marekani. Kwa post na comment za wadau wa ile page, nilikuwa najiuliza jamaa alishindaje uchaguzi maana post na comment ni negative dhidi ya Trump.

Ila siku moja nikaingia kwenye page ya fox news, nilishangaa kuona kumbe na haya mambo ya media kuegemea upande mmoja hata Marekani yapo 🤔🤔🤔. Jamaa ana uungwaji mkono vibaya mno katika page ya fox news na ndio inaongoza kwa kuwa na like na comment nyingi zaidi ya CNN na inasemekana kwamba popularity ya fox media inakuwa kubwa kwa sababu ya kuegemea upande wa Trump.
Hivyo na TBC tusiilaumu..😅
 
Habaru feki tu hizi na hizi polls hazijawahi kuwakilisha watu wote, Poll inaweza hata kufanyika sebulenu kwa Joe biden watoto wake wakawa wanaulizwa nani atashinda, baba yao au trump [emoji16][emoji16].

Trump huu uchaguzi ashashinda, inashangaza hata idara za usalama kama mapolisi wameapa kumpa kura, hii ni nadra sana, Wafanyabiashara wanaovhomewa biashara zao na magenge ya kihalifu yanayotumia mgongo wa black lives matter watampigia kura trump maana chama cha biden kinahamasisha sana hizi. vurugu.

Trumo ana ushindi mnono sana

Sawa Trumo
 
Uchaguzi uliopita Hillary muda wote alikuwa mbele kwenye kura za maoni lakini siku yenyewe ilipowadia hakuamini macho yake.

Hizi kura za maoni sio za kuamini sana kwani kuna wale wanaitwa The silent majority ambao waga hawapendi kushiriki kwenye hizo kura za maoni na wengi wao wako upande wa Trump.
 
Zamani nilikuwa natumia page ya CNN kama chanzo changu cha habari kutoka Marekani. Kwa post na comment za wadau wa ile page, nilikuwa najiuliza jamaa alishindaje uchaguzi maana post na comment ni negative dhidi ya Trump.

Ila siku moja nikaingia kwenye page ya fox news, nilishangaa kuona kumbe na haya mambo ya media kuegemea upande mmoja hata Marekani yapo 🤔🤔🤔. Jamaa ana uungwaji mkono vibaya mno katika page ya fox news na ndio inaongoza kwa kuwa na like na comment nyingi zaidi ya CNN na inasemekana kwamba popularity ya fox media inakuwa kubwa kwa sababu ya kuegemea upande wa Trump.

Yes Fox mpango mzima. Hawa wako balanced!
 
Back
Top Bottom