Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Achana nae bna.sex ndo kila kitu bila nyege angezaliwa?Bujibuji hapanic, Wala sijawahi kupanic.
Tatizo lenu Watanzania mnadhani siasa ndio kila kitu.
Hata tukiwaulizeni maswali ya siasa hamna majibu yake.
Nilicho post Mimi is a scientific research, na kwa taarifa yako hii research imegharimu muda mrefu na fedha nyingi.
Tanzania hatuendelei kwasababu hatufanyi tafiti, hata tafiti zilizokwisha kufanyika tunazidharau