Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Achana nae bna.sex ndo kila kitu bila nyege angezaliwa?Bujibuji hapanic, Wala sijawahi kupanic.
Tatizo lenu Watanzania mnadhani siasa ndio kila kitu.
Hata tukiwaulizeni maswali ya siasa hamna majibu yake.
Nilicho post Mimi is a scientific research, na kwa taarifa yako hii research imegharimu muda mrefu na fedha nyingi.
Tanzania hatuendelei kwasababu hatufanyi tafiti, hata tafiti zilizokwisha kufanyika tunazidharau
Uhuhuuu mbuzi weweRetired huyu jamaa anatutega [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Bujibuji anataka tukajamiiane yeye akimbie na masanduku ya kura [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hapo amekula kapa.
Mbuzi tena? [emoji849][emoji849]Uhuhuuu mbuzi wewe
Lazima ajute kama alikuwa anakomoaKahawa shoo yake ya kibabe.
Ila Kama afya mgogoro usinywe.
Kuna dogo alikunywa vikombe vitano vya kahawa alijuta.