Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Ushahidi:
1. Pitia threads karibu zote hapa JF; hususani zile zitokazo kwa wanaojifanya kuichukia, utakuta wanaitaja ccm Kila baada ya maneno manne au matano.......huu ni u-CCM.
2. Mbio za mithili ya Hussein Bolt za wapinzani kukimbilia CCM wakitakiwa. Hapa mifano iliyopo nikiiandika yote thread itajaa; lakini kina slaa, mashinji, kafulila n.k itoshe kuhitimisha hoja hii......ni u-CCM huo.
3. Utitiri wa watu wanaofuatilia kampeni za ccm zikianza. Hapa utashangaa, Kila mtu anaifuatilia CCM.....sokoni, mabanda ya video/mipira, viwanjani, majumbani n.k wote wanaizungumzia CCM. Wengine (wanaojifanya Sasa ni wapinzani) utawaona kabisa wanaibia kuiangalia. Hili nimeliona kwa kina kabisa 2010, 2015 na 2020. CCM wakianza tu kampeni zao nchi inazizima. Huu ni u-CCM.
4. Wapinzani kuwa baridi wakati wa utawala wa Fulani na kuwa moto wakati wa utawala wa mwengine. Angalia na linganisha viwango vya ubwatukaji na utafutaji wa utata wakati wa Mkapa, Kikwete, Magufuli na Sasa Samia....Kuna tofauti kubwa. Hii ni ishara ya u-CCM hii. Marekani awe Clinton, awe Obama au Biden; viwango vya ubishi vya republican vitabaki vilevile.
Nawasilisha.....Eid Mubarak!
Angalizo:
Hapa hazihitajiki D za kiswahili na edk kunielewa, Bali A za mathematics, physics, biology, bam na chemistry. Huna hivyo utaoshia kutukana tu hapa.