Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
We unasema, lakini nimekuwekea ushahidi wa wazi kabisa.Si kweli, CCM imechokwa wapinzani bado hawajajipanga.
Wote wanafaa kwa namna na wakati wao; hao kina msoga na kizimkazi ndiyo waliowatoa ushamba na kuwa wa kisasa zaidi.....anyway, hoja ni u-CCM wa watanzania.Watanzania kwa hawana mbadala wa chama. Wapinzani hawajajipanga na wengi wao ni wanafiki.
Suluhu pekee waliyonayo ni CCM iweke mtu wanaemtaka wao, mtu kama mjomba. Mtu mwenye misimamo na mamlaka. Aweze kuongoza na kukemea.
Sio stail ya Msoga na Kizimkazi
Tanzania haina wazee wengi hivyo, maana ccm inafuatiliwa na wazee zaidi.Ushahidi:
1. Pitia threads karibu zote hapa JF; hususani zile zitokazo kwa wanaojifanya kuichukia, utakuta wanaitaja ccm Kila baada ya maneno manne au matano.......huu ni u-CCM.
2. Mbio za mithili ya Hussein Bolt za wapinzani kukimbilia CCM wakitakiwa. Hapa mifano iliyopo nikiiandika yote thread itajaa; lakini kina slaa, mashinji, kafulila n.k itoshe kuhitimisha hoja hii......ni u-CCM huo.
3. Utitiri wa watu wanaofuatilia kampeni za ccm zikianza. Hapa utashangaa, Kila mtu anaifuatilia CCM.....sokoni, mabanda ya video/mipira, viwanjani, majumbani n.k wote wanaizungumzia CCM. Wengine (wanaojifanya Sasa ni wapinzani) utawaona kabisa wanaibia kuiangalia. Hili nimeliona kwa kina kabisa 2010, 2015 na 2020. CCM wakianza tu kampeni zao nchi inazizima. Huu ni u-CCM.
4. Wapinzani kuwa baridi wakati wa utawala wa Fulani na kuwa moto wakati wa utawala wa mwengine. Angalia na linganisha viwango vya ubwatukaji na utafutaji wa utata wakati wa Mkapa, Kikwete, Magufuli na Sasa Samia....Kuna tofauti kubwa. Hii ni ishara ya u-CCM hii. Marekani awe Clinton, awe Obama au Biden; viwango vya ubishi vya republican vitabaki vilevile.
Nawasilisha.....Eid Mubarak!
Angalizo:
Hapa hazihitajiki D za kiswahili na edk kunielewa, Bali A za mathematics, physics, biology, bam na chemistry. Huna hivyo utaoshia kutukana tu hapa.
Kalagabagho!!Tanzania haina wazee wengi hivyo, maana ccm inafuatiliwa na wazee zaidi.
“Ushamba na kisasa zaidi”Wote wanafaa kwa namna na wakati wao; hao kina msoga na kizimkazi ndiyo waliowatoa ushamba na kuwa wa kisasa zaidi.....anyway, hoja ni u-CCM wa watanzania.
Msoga alitutoa ushamba, mjomba akatutia ushamba, kizimkazi anatutoa ushamba.Wote wanafaa kwa namna na wakati wao; hao kina msoga na kizimkazi ndiyo waliowatoa ushamba na kuwa wa kisasa zaidi.....anyway, hoja ni u-CCM wa watanzania.
Nakazia.Watanzania kwa hawana mbadala wa chama. Wapinzani hawajajipanga na wengi wao ni wanafiki.
Suluhu pekee waliyonayo ni CCM iweke mtu wanaemtaka wao, mtu kama mjomba. Mtu mwenye misimamo na mamlaka. Aweze kuongoza na kukemea.
Sio stail ya Msoga na Kizimkazi
Watu huitaja ccm ili kujenga hoja zao , andiko lako halina hakiliUshahidi:
1. Pitia threads karibu zote hapa JF; hususani zile zitokazo kwa wanaojifanya kuichukia, utakuta wanaitaja ccm Kila baada ya maneno manne au matano.......huu ni u-CCM.
2. Mbio za mithili ya Hussein Bolt za wapinzani kukimbilia CCM wakitakiwa. Hapa mifano iliyopo nikiiandika yote thread itajaa; lakini kina slaa, mashinji, kafulila n.k itoshe kuhitimisha hoja hii......ni u-CCM huo.
3. Utitiri wa watu wanaofuatilia kampeni za ccm zikianza. Hapa utashangaa, Kila mtu anaifuatilia CCM.....sokoni, mabanda ya video/mipira, viwanjani, majumbani n.k wote wanaizungumzia CCM. Wengine (wanaojifanya Sasa ni wapinzani) utawaona kabisa wanaibia kuiangalia. Hili nimeliona kwa kina kabisa 2010, 2015 na 2020. CCM wakianza tu kampeni zao nchi inazizima. Huu ni u-CCM.
4. Wapinzani kuwa baridi wakati wa utawala wa Fulani na kuwa moto wakati wa utawala wa mwengine. Angalia na linganisha viwango vya ubwatukaji na utafutaji wa utata wakati wa Mkapa, Kikwete, Magufuli na Sasa Samia....Kuna tofauti kubwa. Hii ni ishara ya u-CCM hii. Marekani awe Clinton, awe Obama au Biden; viwango vya ubishi vya republican vitabaki vilevile.
Nawasilisha.....Eid Mubarak!
Angalizo:
Hapa hazihitajiki D za kiswahili na edk kunielewa, Bali A za mathematics, physics, biology, bam na chemistry. Huna hivyo utaoshia kutukana tu hapa.
Haahaa uccm etiUshahidi: