Utafiti "ma dis-minder" wana IQ ndogo sana!

Utafiti "ma dis-minder" wana IQ ndogo sana!

Hahaa wajinga imeisha saa nne bhana...hata akitokea simba we jifanye disminder utakiona cha moto! !! U need to have a such idea idiot.
 
LIKUD kuwa muelewa basi!
Unafahamu nini ukiskia IQ?
Hiyo link wameeleza IQ vile wanavyoielewa wao, na vile vile hawajasema madisminder wanakua na IQ ndogo kama ulivyoelezea wewe!
...
Sababu ya kukuuliza hivyo, nataka nihusishe definition yako wewe na maelezo uliyotoa!
...
Embu niambie, unafahamu nini ukiskia IQ?

Kama una maoni tofauti tiririka watu tujifunze brother, naweza nikawa sipo sahihi, ndo maana nimeleta hapa watu wajadili,.
 
Akili yako ni sifuri mleta mada lione kazi kufatilia maisha ya watu,
 
Kama una maoni tofauti tiririka watu tujifunze brother, naweza nikawa sipo sahihi, ndo maana nimeleta hapa watu wajadili,.

Yes! Hayo ndio maneno!
...
Kuna IQ na EQ, Mtu huwa na vyote hivyo! Tofauti yetu ni viwango tu vya hizo iq na eq! Unaweza kuwanazo zote kubwa, zote ndogo or moja kubwa na nyengine ndogo!

If moja itakuwa kubwa na nyengine ndogo, ni bora uwe na IQ ndogo afu uwe na EQ kubwa!
...
IQ = power craming, power to understand and ability to explain!
Mtu mwenye IQ kubwa anakuwa hodari sana darasani! nadhani umewahi kuwaona wasomi wakifanya upuuzi na kuhisi ni bora wale waliofeli! Kuna mzungu (nimemsahau jina) alisema "kufeli shule si kufeli kimaisha" huyu ni bilionea aliefeli shule, but inasadikika alikuwa na EQ kubwa!
...
EQ = Creative power na uwezo wa kujitathmini (kuact kama matured person!)
Nguvu zao za ubunifu na uwezo wa kujitathmini huwawezesha kubuni miradi inayoendana na mazingira yao na kujikimu kiuchumi!
...
Dis minder: actualy sina elimu hapa! But kwa mujibu wa maelezo yako na mifano yako nahisi umeongelea mambo mengine na hakuma mahusiano na IQ! Sana sana umeongelea ANTI SOCIAL PERSONAL DISODER!
 
Mkuu LIKUD kama ungekuwa umejifunza kuhusu personality traits yaani sanguine, melanchol,phlegmatic na cholerick, usingethubutu kusema watu wasiopenda kufatilia mambo ya wengine kuwa ni disminder,
Watu unaowazungumzia wewe ni melachol ambao kwa mujibu wa wanasaikolojia ndio watu wenye akili nyingi kuliko personality yoyote, watu wa namna hiyo huzingatia zaidi mawazo yao kuliko kufuatilia ya wengine.
 
LIKUD usiwe unaogopa challenge
Ili upate challenge lazima kuwe na disminder
 
Last edited by a moderator:
U dis-minder ni fresh sana hasa kwenye daladala. Unakuta mtu kwenye siti ya pembeni anajaribu kuleta story za ccm na chadema na ufisadi, basi hapo waga naweka earphones kwa simu na kuanza kusikiliza ngoma.

Vipi akileta habari za Ronaldo na Messi!
Au habari za p square?
 
Jaykay ana iq kubwa kulikp watz.wote, sababu kafanikiwa kimaisha.

Huu utafiti jamani khaiiii
 
Mkuu utafiti wako umefeli kwani kwa kawaida madisminder wengi huwa na IQ kubwa hawana Strees nyingi kila kitu kwao easy......
 
Akileta za NBA na za Tupac, Nas, Jay-z na Technology hapo tutaelewana...sio mbowe, nape, mnyika, ridhwani, lowasa...
 
Back
Top Bottom