Utafiti: Makazi ya Wana-JF

Utafiti: Makazi ya Wana-JF

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
9,424
Reaction score
11,320
Huu ni utafiti rasmi uliofanywa na Shirika la Chitlliysous Consulting Inc. kwa kuanzia Mwezi January to May 2021 juu ya ukaazi wa members wa Jamiiforums.

Sample size na vigezo vilizingatiwa, infact, utafiti huu unatambulika Kimataifa.

Utafiti unaelezea makazi ya WanaJf;

1. 32% wanaishi Kimara mpaka Mbezi mwisho along Morogoro road

2. 16% wanaishi kuanzia Buguruni, Tabata mpaka Kinyerezi

3. 10% wanaishi kuanzia Mwenge, Ubungo mpaka and/along Mandela road

4. 10% wanaishi Kinondoni, Magomeni, Tandale na Manzese

5. 9% Temeke, Tandika, Mtoni, Mbagala, Kigogo, Mburahati, Ilala

6. 6% Arusha

7. 5% Mwanza

8. 2% Moshi

9. 2% Mbeya

10. 2% Zanzibar

11. 6% The rest regions/ Diaspora

Wakatabahu

Mtafiti Mtafiti Mwandamizi

Platozoom
 
Back
Top Bottom