... dunia inaenda kasi sana. Ndio aina ya kizazi cha hakuna Mungu, dini ni utapeli, kataa ndoa, etc. Hayo mambo usingeyaongea hivyo miaka 25 iliyopita ukaeleweka.
Au kukutana na akina dada wamevaa skin tight tena tight kali zikiwachora exactly walivyo eti wako bize maofisini wakihudumia wateja!