Utafiti mpya wa reliability ya magari, BMW imeshika namba 3 USA

Utafiti mpya wa reliability ya magari, BMW imeshika namba 3 USA

Hizo takwimu zimeandliwa na time ya uchaguzi?
BMW inashika nafasi ya 3? Au inawezekana BMW zinazouzwa marekani ni tofauti na hizi zinazoahinda garage kilasiku.

Wazungu wanajiuliza kilasiku inakuaje Toyota anatengeneza magari imara kama treni wanakosa majibu ndiyo maana kampuni ya Toyota bado imegoma kutengeneza magari ya umeme Hadi Leo na kulikuwa na ubishani mkubwa kwenye kampuni ya Toyota namna gani wataingia kwenye ulimwenguni wa EV's.

Baada ya research ya muda mrefu kampuni ya Toyota wamependekeza utumiaji wa HYDROGEN CELLS badala ya UMEME kitu ambacho hata Mimi nakubaliana nao
Mjerumani anatengeneza gari moja anauza dunia nzima, tofauti itakuwepo kidogo sana kwenye emission standards. Siyo kama mjapani
 
Wapumbavu hao unakuta wanaongelea BMW za 2023.
Ila kuanzia BM za 2015 naona kuna uafadhali ukilinganisha na hizi za early 2000.

Pia kwa Audi na VW kuanzia 2013 nao engine zao hazina majanga majanga labda mambo mengine.

Mfano audi Q5 gari ina bonge moja la engine ila Gearbox kimeo.
 
Back
Top Bottom