Utafiti mpya wa reliability ya magari, BMW imeshika namba 3 USA

Off course reliability ya Toyota ni Kwa dunia nzima.
Nafahamu hilo ila kwa criteria za wabongo reliable cars ni toyota pekee ilihali duniani reliable cars ziko nyingi tu
 
Mjerumani anatengeneza gari moja anauza dunia nzima, tofauti itakuwepo kidogo sana kwenye emission standards. Siyo kama mjapani
 
Wapumbavu hao unakuta wanaongelea BMW za 2023.
Ila kuanzia BM za 2015 naona kuna uafadhali ukilinganisha na hizi za early 2000.

Pia kwa Audi na VW kuanzia 2013 nao engine zao hazina majanga majanga labda mambo mengine.

Mfano audi Q5 gari ina bonge moja la engine ila Gearbox kimeo.
 
Kibongo bongo bado BMW sio gari ya kila mtu. Oil fake, petrol ina lots of contaminants, temperature iko juu, parts fake ukifunga after a while zinazingua, ingawa ni chuma unyama sana

Shida yake kila sehem plastiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…