Utafiti mpya: Wanawake wengi wa Kitanzania hutamani kutoka na wanaume wa kanda ya ziwa kama chaguo lao la kwanza.

Utafiti mpya: Wanawake wengi wa Kitanzania hutamani kutoka na wanaume wa kanda ya ziwa kama chaguo lao la kwanza.

Ila Kuna wasukuma wana maneno na michambo Kama wa uko pwani
 
Hahahahahahaha aniache mimi napenda watu wa pwani jamani wanajua kudekeza... Yaani pepo unaiona hii hapa mbele yako woooiii.... Hizo story za kupeana pesa zitakuja baadae
[emoji3][emoji3][emoji3] Najuta kuzaliwa Kanda ya ziwa
 
Write your reply...Hakuna mwanamke asiependa kuolewa na Mchagga,au Any Northern Man Huo Utafiti wenu wa Twaweza pelekeni Hukoo
 
a784ecda-0e04-41e5-9ebb-f29d9a77b769.jpg
 
Eheeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] musoma ubabe, tanga mahaba

Kanda Maalumu hiyo, hapo huyo mwanamke akileta fyoko fyoko anakula upanga wa kichwa

[emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji23]
 
Kanda Maalumu hiyo, hapo huyo mwanamke akileta fyoko fyoko anakula upanga wa kichwa

[emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji23]
Haahahahahhahahaah jaman
 
Kweli kabisa
Wasukuma wanaongoza Ni ndoto ya kila mwanamke kuolewa na msukuma.hata Mimi natamani basi tu nimekosa
Wakurya
Wagita
Wanyamwezi sio sana maana wapo kiswahili sana kama wazaramo halafu sio wachapakazi.
Wahaya hao wanawezana wenyewe.
Mkuu, kwa jinsi ulivyo lisifia kabila langu....
Tayari nimekutumia PM
 
Utafiti mpya unaonyesha kua wanaume wa kanda ya ziwa hupewa kipaumbele kikubwa na sehemu kubwa ya wanawake wa Tanzania. Utafiti huu unafanywa na taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na mambo ya kijamii, utafiti huu utachapishwa hivi karibuni kwenye magezati na mitandao ya kijamii. Mimi natoa tips tu.

Katika utafiti huo zaidi ya wanawake 3000 kutoka mikoa mbali mbali na makundi mbali mbali ya umri wanasema wangependelea kuolewa na wanaume wa kanda ya ziwa.

Sababu kubwa wanazotaja wanawake hao ni kua wanaume wa kanda ya ziwa wako masculine, physique zao zinavutia wakimaanisha wana miili ya kiume. Wanawake wengi walidai kua wanaume wengi wa kanda ya ziwa ni wapole, wastaarabu na pia ni wahongaji wazuri. Hili la kuhonga vizuri lilisemwa na wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao, aanasema mwanaume msukuma au mkurya akienda hana muda wa kunegotiate, akiambiwa 50 yeye anatoa bila shida anapiga kazi yake anaondoka lakini wahaya walionekana kua sio watoaji wazuri na wengine walifikia hatua ya kusema mhaya anaweza kutapeli mbunye, ila kwa ujumla kanda ya ziwa inaongoza kwenye huo utafiti ikifatiwa na wanaume wa nyanda za juu kusini.

Wanaume wa kanda ya kasikazini kwenye kipengele cha mapenzi walionekana wa mwisho kuanzia kuhonga, kubembeleza na kujali. Wanaume wa kanda ya pwani wamekua wa mwisho kwenye overal. Maneno mengi hakuna kitu.

Utafiti huo utachapishwa hivi karibuni.

Hata mm ninamsukuma kwenye mapenzi ndo usiseme.,mpoleee kama nn na kama ndo kuhongwa haiiii mpk najichekea mm usingizini.mwanaume ana mimina mahera tyu.Daah! Mungu anipe nn tena mm.
 
Hata mm ninamsukuma kwenye mapenzi ndo usiseme.,mpoleee kama nn na kama ndo kuhongwa haiiii mpk najichekea mm usingizini.mwanaume ana mimina mahera tyu.Daah! Mungu anipe nn tena mm.
Mama usimuache, wasukuma kwa kuhonga wanaongoza Afrika Mashariki na Kati. Wewe uwe unamsifia tu utakuja kuniambia. Anaweza kusomesha ukoo wenu mzima.
 
Back
Top Bottom