Utafiti mpya: Wanawake wengi wa Kitanzania hutamani kutoka na wanaume wa kanda ya ziwa kama chaguo lao la kwanza.

Ila Kuna wasukuma wana maneno na michambo Kama wa uko pwani
 
Hahahahahahaha aniache mimi napenda watu wa pwani jamani wanajua kudekeza... Yaani pepo unaiona hii hapa mbele yako woooiii.... Hizo story za kupeana pesa zitakuja baadae
[emoji3][emoji3][emoji3] Najuta kuzaliwa Kanda ya ziwa
 
Write your reply...Hakuna mwanamke asiependa kuolewa na Mchagga,au Any Northern Man Huo Utafiti wenu wa Twaweza pelekeni Hukoo
 
Eheeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] musoma ubabe, tanga mahaba

Kanda Maalumu hiyo, hapo huyo mwanamke akileta fyoko fyoko anakula upanga wa kichwa

[emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji23]
 
Kanda Maalumu hiyo, hapo huyo mwanamke akileta fyoko fyoko anakula upanga wa kichwa

[emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji23]
Haahahahahhahahaah jaman
 
Kweli kabisa
Wasukuma wanaongoza Ni ndoto ya kila mwanamke kuolewa na msukuma.hata Mimi natamani basi tu nimekosa
Wakurya
Wagita
Wanyamwezi sio sana maana wapo kiswahili sana kama wazaramo halafu sio wachapakazi.
Wahaya hao wanawezana wenyewe.
Mkuu, kwa jinsi ulivyo lisifia kabila langu....
Tayari nimekutumia PM
 
Hata mm ninamsukuma kwenye mapenzi ndo usiseme.,mpoleee kama nn na kama ndo kuhongwa haiiii mpk najichekea mm usingizini.mwanaume ana mimina mahera tyu.Daah! Mungu anipe nn tena mm.
 
Hata mm ninamsukuma kwenye mapenzi ndo usiseme.,mpoleee kama nn na kama ndo kuhongwa haiiii mpk najichekea mm usingizini.mwanaume ana mimina mahera tyu.Daah! Mungu anipe nn tena mm.
Mama usimuache, wasukuma kwa kuhonga wanaongoza Afrika Mashariki na Kati. Wewe uwe unamsifia tu utakuja kuniambia. Anaweza kusomesha ukoo wenu mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…