Utafiti mpya

Utafiti mpya

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,593
Reaction score
8,595
Habarini ndungu.....! Kutokana na swala zima la uaminifu kushuka chini siku Hadi siku Basi Kuna hii njia mpya ya kuweza kugundua Kama mtu wako anachepuka ni simple na rahisi Sana.

Kutokana na saikolojia ya binadamu kuto penda kufanya kazi Basi kupitia hii ndio nawapa njia hii

Ukiona mtu wako anapenda Sana kwenda kazini siku ya jumatatu unda tume utakuja kunishukuru.

Nawasilisha.
 
Mbona jumatatu inajulikana wazi Ni siku ya kazi baada ya siku mbili za weekend!!
Au umelenga Nini?
 
Ungeniambia siku za jumamosi na jumapili hapo kidoooogo ingeingia akilini mwangu lakini sio siku ya j3 !!! Mweeee🤣
 
Habarini ndungu.....! Kutokana na swala zima la uaminifu kushuka chini siku Hadi siku Basi Kuna hii njia mpya ya kuweza kugundua Kama mtu wako anachepuka ni simple na rahisi Sana.

Kutokana na saikolojia ya binadamu kuto penda kufanya kazi Basi kupitia hii ndio nawapa njia hii

Ukiona mtu wako anapenda Sana kwenda kazini siku ya jumatatu unda tume utakuja kunishukuru.

Nawasilisha.
Na wanaoenda kazini kilasiku vipi maana jumaatatu ni subset of all days.
 
Hizi tafiti za kufanya ukiwa Namanga park, Kule Chanika ya Tegeta huku yule dada mwenye mahipsi anakuletea mabaketi ya Serengeti lite mfululizo ni shida sana
 
Ukweli wa mtu anaujua mwenyewe!
Anaweza kushinda ndani masaa 24 siku saba za wiki na bado akaliwa.
Kwahiyo hizi mambo hazina utaalam.
 
Mbona jumatatu inajulikana wazi Ni siku ya kazi baada ya siku mbili za weekend!!
Au umelenga Nini?
Sawa ni siku ya kazi Ila wengi wetu ni siku ngumu Sana hasa kuanza kuamka asubuhi na hii sio kwa wafanya kazi tu hata wanafunzi pia so ukiona mwanao anapenda jtatu ifike haraka ili aende shule ni kipimo tosha kuwa mwanao hapo nyumbani anaishi kwa sababu ni nyumbani
 
Ungeniambia siku za jumamosi na jumapili hapo kidoooogo ingeingia akilini mwangu lakini sio siku ya j3 !!! Mweeee[emoji1787]
Jtatu ni siku ngumu Sana kuinza Ila ukiona mwenza wako anaifurahia ifike haraka aende kazin we jua tu Kuna kitu amekimic huko
 
Mtoa mada fungua codes,umelenga Nini?
Jtatu ni siku ngumu Sana kuinza Ila ukiona mwenza wako anaifurahia ifike haraka aende kazin we jua tu Kuna kitu amekimic huko
 
Hizi tafiti za kufanya ukiwa Namanga park, Kule Chanika ya Tegeta huku yule dada mwenye mahipsi anakuletea mabaketi ya Serengeti lite mfululizo ni shida sana
Vipi nimefungua code nn [emoji16][emoji16]
 
Huyu mwamba atakuwa kapigwa tukio sio bure,vinginevyo funguka unamaanisha nini?
Namaanisha hivii siku ya jtatu ni ngumu Sana kwa tulio wengi na hii sio tu kazini hata shuleni kwa wanafunzi ni siku ngumu mno kuanza kuiswich akili ikae kikazi kazi kutokana na Bata la weekend so ni siku yenye kaugumu flani hivi. So ukiona mtu wako ni siku ambayo anaisubiria kwa hamu na anajiandaa vema kuipokea hii siku we jua tu Kuna kitu/mtu anae mfurahisha huko kazini Zaid yako.[emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom