Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni sawa kabisa likifwatiwa na LUMUMBA BAVICHA kidgo na neno MGEGEDONeno maarufu hapa jamii forum lililozoeleka sana na kutumika karibu mara kwa mara na kila mtu.. neno hilo ni MKUU,
Neno Mkuu linatumika kila siku, na katika kila comments 5 basi 3 zina neno MKUU.
Siku yenu iende vyema wakuu.
Ya ni kweli MkuuNeno maarufu hapa jamii forum lililozoeleka sana na kutumika karibu mara kwa mara na kila mtu.. neno hilo ni MKUU,
Neno Mkuu linatumika kila siku, na katika kila comments 5 basi 3 zina neno MKUU.
Siku yenu iende vyema wakuu.
Hata wakaka wanawaita wadada mkuu,na wadada wanaita mkuu,[emoji23] hili neno maarufu sanaHata mtoto mdogo anaitwa mkuu na wakubwa...