Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za asubuhi Mkuu?Ubarikiwe sana mkuu...
Nipo tu mkuu.Salama kabisa mkuu.
Nakuona mkuu.
Lazima uite sizonje ndio uhisi ahueniBashite na sizonje yanaongoza
Shukrani sana mkuu.Nipo tu mkuu.
Uwe na Siku Njema Mkuu
SAWA MKUUHata wakaka wanawaita wadada mkuu,na wadada wanaita mkuu,[emoji23] hili neno maarufu sana
Samahan mkubwaKuna neno DUSHE linatumika sana M M U
MmhhhSawa mkuu..ila umesahau na neno"uzwazwa"