Utafiti mwepesi: Neno maarufu JamiiForums ni 'mkuu'

dadeez

Senior Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
116
Reaction score
144
Neno maarufu hapa JamiiForums lililozoeleka sana na kutumika karibu mara kwa mara na kila mtu neno hilo ni mkuu, neno mkuu linatumika kila siku na katika kila comments 5 basi 3 zina neno mkuu.

Siku yenu iende vyema wakuu.
 
Neno maarufu hapa jamii forum lililozoeleka sana na kutumika karibu mara kwa mara na kila mtu.. neno hilo ni MKUU,
Neno Mkuu linatumika kila siku, na katika kila comments 5 basi 3 zina neno MKUU.

Siku yenu iende vyema wakuu.
Mkuu ni sawa kabisa likifwatiwa na LUMUMBA BAVICHA kidgo na neno MGEGEDO
 
Neno maarufu hapa jamii forum lililozoeleka sana na kutumika karibu mara kwa mara na kila mtu.. neno hilo ni MKUU,
Neno Mkuu linatumika kila siku, na katika kila comments 5 basi 3 zina neno MKUU.

Siku yenu iende vyema wakuu.
Ya ni kweli Mkuu
 
Uko sahihi mkuu, hata mie napenda kuitumia kwa watu wastaarabu humu
 
Sawa mkuu..ila umesahau na neno"uzwazwa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…