Utafiti mwepesi: Neno maarufu JamiiForums ni 'mkuu'

Sasa Mkuu ndio umeandika nini.?
 
Na kule mjengoni neno maarufu kwa maana ya kutumika mara nyingi na wabunge ni 'kwa kuwa'
 
Yes linaleta heshima bila kujali ni mkubwa au mdogo, wakike au wakiume..ni vema tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…