Utafiti niliofanya ndani ya JamiiForums kwa kipindi kama hiki miaka ya utawala wa Magufuli hakukuwa na malalamiko ya umeme kukatika mara kwa mara

Elewa mada inaongelea Nini badala ya kupost tu bila kujielewa .tunaongelea kipindi Cha November kila mwaka ambacho kinasemekana mito hukauka na mabwawa ya kuzalisha umeme kukosa maji
 
expand...
Elewa mada inaongelea Nini badala ya kupost tu bila kujielewa .tunaongelea kipindi Cha November kila mwaka ambacho kinasemekana mito hukauka na mabwawa ya kuzalisha umeme kukosa maji na kusababisha mgao wa Maji na umeme
 
FANYA PIA UTAFITI NJE YA JAMII FORUM ILI TUJUE KAMA NCHI YETU ILIWAHI KUSHUHUDIA UKAME KAMA HUU KUPINDI HICHO. UTUJUZE
 
Elewa mada inaongelea Nini badala ya kupost tu bila kujielewa .tunaongelea kipindi Cha November kila mwaka ambacho kinasemekana mito hukauka na mabwawa ya kuzalisha umeme kukosa maji na kusababisha mgao wa Maji na umeme
 
Nchi imekosa uongozi madhubuti,tumerudi enzi za ubabaishaiji
 
Hongera Mkuu kwa mada yako..

Katika mamia ya Mataga Buku SBA waliokuwemo humu ...Ni wewe tu Umebaki Kutuletea Upuuzi!
 
Kamfufue
 
Sawa kamfufue basi
 
Elewa mada inaongelea Nini badala ya kupost tu bila kujielewa .tunaongelea kipindi Cha November kila mwaka ambacho kinasemekana mito hukauka na mabwawa ya kuzalisha umeme kukosa maji na kusababisha mgao wa Maji na umeme
 
Nendeni kwenye kaburi lake we na gwajima mufufue..
Badala uwaze namna ya kudeal na hii hali we daily unamuwaz mtu ashakufa
Magufuli alielewa namna ya ku deal nalo akasema ni ufisadi tu hakuna Cha uongo wa kina Cha maji Wala mabwawa ya kuzalisha umeme kukauka Ni hujuma za kifisadi tu akawashuguulikia barabara mitambo ya IPTL na Dowans akaikataa kuitumia akashughulika na mifisadi ya Dawasa yenye miviongozi ya Dawasa ambayo ilikuwa na miboza migari ya kuuza maji.Maji yakawa yanatoka vizuri bila mgao .Miboza yao ikapaki

Sasa hivi Miboza ya migari yao ya kuuza maji imerufi inauza hasa sio utani
 
Naunga hoja mkono, ila kulikua na malalamiko ya miili ya watu kuokotwa kwenye viroba, wengine wakipotea tu, wengine wakiondoshwa kazini, wengine wakipewa kesi za uhujumu uchumi....katikati ya hayo yote hata umeme ukikatika utauwazia kweli??
Hao ni watu walio taka kumugujum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…