mwanausangi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2021
- 548
- 608
Kabisaaaa, kuna tatizo mahali yaani kuna mambo yanakera sana nchi hiii basii tu!Nikupe jibu kitu ambacho ni very interesting
Kipindi Cha utawala wa Kikwete umeme ulikuwa ukikatika katika Sana na maji kusumbua kama sasa kipindi Cha Samia Hadi Kikwete akaagiza mitambo fisadi ya kufua umeme!! Kwa visingizio tunavyopewa leo ohh mifugo oh Mabadiliko Tabia nchi ohh kina Cha maji nk
Magufuli kuingia kasema Kuna hujuma Tanesco akaitupilia mbali mitambo ya kufua umeme ya kukodi na umeme ukawaka kipindi chote na maji sijui aliyatoa wapi yakawepo!
Matatizo ya kipindi Cha Kikwete mbona yanajirudia kipindi Cha Mama Samia? Yaliruka kipindi Cha Magufuli yamekuja kutua kipindi Cha Mama Samia Huoni.kuna tatizo kubwa Mahali?
Huyo zitto anafahamika!!kuna watu wakiwa madarakani huezi kumsikia anawapinga!tunamjua tabia zake za..........Hiyo ndio furaha ya wapinzani uchwara wa nchi
Namwona fisadi Zito alivyo mwongo na tapeli anayejua anachokitaka na anapambana kupata
Mjue tuu watanzania wa sasa sio wale alokua akiwajua enzi zile
Tanzania ni tajiri
2016 kulikuwa na uchaguzi upi?tafsiri yake kuna viongozi katika awamu hii hawawajibiki ipasavyo!!ni kweli kipindi cha mwendazake hakukua na tatizo la umeme wala mgao wa maji!!na ninakumbuka aliingia madarakani november 2016 nchi ilikua katika ukame kama sasa
🍾🥂Tafsiri yake ni kwamba CCM ni matapeli wa maendeleo.
tunasumbua mizimu wakati tumetoka kukata miti million 2 kujenga bwawa.Hata baada ya miaka 60 kuwepo madarakani lkn leo hii tunaimizwa kuomba mizimu ili mvua inyeshe
I mean nov 20152016 kulikuwa na uchaguzi upi?
naunga mkono hojaKuna kipindi fulani Mzee aliwahi kusema kuna watu wanakata umeme kwa makusudi kuonekane kuna uhaba halafu linaundwa zengwe, kisha inaletwa kampuni ili izalishe umeme na kuliuzia shirika. Baada ya kulikemea hilo na kuahidi vibarua vyao kuviootesha nyasi lilikoma mara moja. na hata palipokuwa na maintenance ilifahamika.
changamoto huwa zipo hivyo tuendelee kuvumilia, ila wasilete ngonjera za kununua umeme kwa wazalishaji binafsi ili kufidia tatizo hapo lazima tuhisi ni upigaji maana tulipotoka tunapajua.
Tena huyo Tajiri Tanzanite ni pro CCM na pro JPM wa kutupwa.Mgao wa umeme umeanza kimya kimya Arusha
Hapo vip!! Huku maeneo ya Ngulelo, Kimandolu Sekei n.k umeme umekuwa unakatwa kuanzia saa 8 nane mchana mapaka siku inayofuatwa. Kitu ambacho wananchi wenzangu wanalalamika ni kutopewa taarifa ili wapambane na hali ya hilisi kwasababu kuna watu wanategemea umeme kuingiza kipato. Mfano...www.jamiiforums.com
Umeonaaaa? ndugu yangu.tunasumbua mizimu wakati tumetoka kukata miti million 2 kujenga bwawa.
Kifupi jamaa wameanza kutuibia Tena Kama enzi za Msogagang.JamiiForums ni eneo ambalo watu wakiona kero huwa hawaiachi na Hakuna wa kuwazuia wasiandike
Nimejitahidi kufanya utafiti kupitia nyuzi zote za kipindi chote cha utawala wa Magufuli mwezi kama huu wa 11 miaka yote ya utawala wa Magufuli baada ya kuapishwa kuanzia 2016 November hadi 2020 November nikaangalia vipindi vyote vya November miaka yote hakukuwa na malalamiko ya wananchi humu jamii forums ya tatizo la umeme kukatikatika nchi nzima Kama Wala la maji ya ratiba ya mgao Dar es Salaam
Nilifanya hivyo sababu wengine wanadai ni kawaida kipindi kama hiki cha November huwa na hiyo shida hivyo kuletelea shida ya tatizo la maji na umeme. Hilo lalamiko sikuliona kipindi chote cha Magufuli humu Jamiiforums watu wakiibua threads za malalamiko kama sasa
Tafsiriri yake nini?
We mjane wa mwendazake hata enzi za mungu wenu mgao na kukatika katika kwa umeme kulikuweponsana.Utafiti JamiiForums unaendelea
Kwa utafiti nikiofanya kwenye hii mada yangu niliyoanzisha Kama mwana CCM ya kukosoa Serikali yangu humu nimegundua kitu Cha aja
Upinzani hasa Wana Chadema wa humu JamiiForums ndio wanaongoza kupinga mada Yangu na kutetea msimamo wa serikali iliyopo sasa kwa nguvu hasa .Hadi Raha.
Kumbe yawezekana Chadema kuungana na serikali na kuachana na upinzani wao
Wamegeuka kuwa ndio watetezi wakubwa wa serikali ya Sasa kwenye hii mada yangu kwa wingi wao
.CCM hoyeeee .
Unajua kabisa kwa sasa Kila kinacho enda kombo wanamsingizia mwendazake,wtz nao wameacha washitukia kwa hiyo ngoma inogile owongo mwingiiJamiiForums ni eneo ambalo watu wakiona kero huwa hawaiachi na Hakuna wa kuwazuia wasiandike
Nimejitahidi kufanya utafiti kupitia nyuzi zote za kipindi chote cha utawala wa Magufuli mwezi kama huu wa 11 miaka yote ya utawala wa Magufuli baada ya kuapishwa kuanzia 2016 November hadi 2020 November nikaangalia vipindi vyote vya November miaka yote hakukuwa na malalamiko ya wananchi humu jamii forums ya tatizo la umeme kukatikatika nchi nzima Kama Wala la maji ya ratiba ya mgao Dar es Salaam
Nilifanya hivyo sababu wengine wanadai ni kawaida kipindi kama hiki cha November huwa na hiyo shida hivyo kuletelea shida ya tatizo la maji na umeme. Hilo lalamiko sikuliona kipindi chote cha Magufuli humu Jamiiforums watu wakiibua threads za malalamiko kama sasa
Tafsiriri yake nini?
Ulikuwa inaishia Tanzania gani wewe puya?We mjane wa mwendazake hata enzi za mungu wenu mgao na kukatika katika kwa umeme kulikuweponsana.