dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,736
- 2,699
Hata Trump ameomba radhi na anachukua hatua, na askari husika anachukuliwa hatua pia askari waliwapigia Magoti waandamanaji.Unabisha usichokijua wewe. Ile kelele ilipigwa hapa hadi raisi mwenyewe akaomba msamaha kwa hilo. Sisi hujitambua sana.
Yote hayo hamkuyaona mkaandamana lakini kwenu mnasema rais aliomba msamaha?
Kuna remote iko nnje inawaongoza majirani zetu.