dindilichuma JF-Expert Member Joined Dec 19, 2015 Posts 1,736 Reaction score 2,699 Jun 7, 2020 #21 oneflash said: Unabisha usichokijua wewe. Ile kelele ilipigwa hapa hadi raisi mwenyewe akaomba msamaha kwa hilo. Sisi hujitambua sana. Click to expand... Hata Trump ameomba radhi na anachukua hatua, na askari husika anachukuliwa hatua pia askari waliwapigia Magoti waandamanaji. Yote hayo hamkuyaona mkaandamana lakini kwenu mnasema rais aliomba msamaha? Kuna remote iko nnje inawaongoza majirani zetu.
oneflash said: Unabisha usichokijua wewe. Ile kelele ilipigwa hapa hadi raisi mwenyewe akaomba msamaha kwa hilo. Sisi hujitambua sana. Click to expand... Hata Trump ameomba radhi na anachukua hatua, na askari husika anachukuliwa hatua pia askari waliwapigia Magoti waandamanaji. Yote hayo hamkuyaona mkaandamana lakini kwenu mnasema rais aliomba msamaha? Kuna remote iko nnje inawaongoza majirani zetu.