Utafiti :Punyeto inasaidia kuwa na baby face

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
 
 
uongoooo...
 
Siyo kupunguza mlundikabo wa mafuta ila unapopata orgasm kuna hormone inayosaidia kusoftisha ngozi inaachiwa mwilini.
Ova
 
Kinachonifanya niwe mwanachama hai wa CHAPUTA hadi leo hii.
Ni pale unapo ajast mwenyewe size ya mbunye unayoitaka[emoji7][emoji7][emoji1362]
 
nasikia huyu jamaa kashatangulia mbele ya haki
 
Hahahahah...Duh...πŸ™‚πŸ˜‰πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜Ž
 
Daaa umenikumbusha enzi za primary kuna jamaa angu alikuwa mzee wa selfie ila cha kushangaza alikuwa na chunusi kibao usoni kama mzinga wa nyuki,SASA HUU UTAFITI WAKO SIJUI UNAOANA VIPI!

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…