Utafiti: Sababu ya wanawake kupiga kelele wakati wa kujamiiana

Tunadanganya tu ili mjiamin...utafiti wa ukweli
Usichofahamu ni kuwa sauti ikitumika vyema hutoa dira na directions kwa mwanaume afanye nini!!

Tatizo wengi wanajililia tu bila kujua kinachowaliza nini!!
 
yaani mi lazima nilie na bahati nzuri jamaa kashanijulia hata mlio wa kufika kileleni kuna siku nilimfake akajua na yeye hapati utamu kama mi sijalia woooyy
Inna hicho ndicho nilikuwa namaanisha!! Fekero inajulikana na ukitoa fekero nakukimbiza ila sauti ni inborn na natural[emoji23] [emoji23] [emoji23] haiji kwa kukariri!!
 
Uwongo upo wazi mara nyingi nikiujua hua nasinyaa

Ila ikitokea ile ya ukweli bao linakuja njiani.

Ukiona mwanadada anatoa sauti stopisha zoezi umcheki hali yake ikiwa uwongo atapatwa na mshangao wa kinachokustopisha ikiwa ni ya ukweli ataendelea yeye na zoezi au ukuhimizi kuendelea na zoezi nje ndani
 
Inategemea mda mwingne uwa tunatumia sauti ili kuonesha ushirikiano katika tendo uku hisia zetu zikiwa mbal kabisa na mda mwingne miguno inakuwa ya ukwel hasa ukiwa na hamu na mech ikiingia tu ule utamu wake lazima miguno ya mahaba itatoka
Basi nikigunduaga dudu inanywea ukouko bola unyamaze tu nifanye yangu nimalize
 
wa kwanza

Mosi pole kwa BAN, umemtukana nani?

Pili, kwako mtoa mada real G, ngoja nitoe uzoefu wangu wa hayo makitu. Nilipokuwa nasoma A level nilikuwa nasoma sana majarida /simulizi za mahaba ambazo zilikuwa zinaelezea kila kitu hadi jinsi mwanamke anavokata kiuno anavotoa sauti za miguno na jinsi inavompagawisha mwanaume kuendelea kutumika. Wakati nasoma majarida hayo pamoja na novel za mahaba, nilikuwa bado sijaingiliwa na mwanaume na hadithi hizo zilikuwa zinanipa raha ya hisia kiasi cha chupi kulowa.

Sasa bana, nilipoanza kuingia ulimwengu wa mahaba weeeh akili ilikuwa full loaded na nondo za mahaba weeeh nilikuwa napagawisha shoo hatarii haikuwa kelele bali sauti na miguno ya mahaba. Kipindi hicho nilikuwa najua mwanamke unatakiwa kuitikia mkito kwa sauti ya mahaba ila baada ya kukubuhu weeeh......

Yaani hadi leo kama hunikuni vizuri au hujanigusa penyewe wala siigizi ntakuwa gogo na bubu mwanzo mwisho hata mie sitotaka shoo irudiwe. Ila ukinikuna penyewe na ukanigusa kunako aahahahahahahhahahahaaaa jiandae kugongewa na majirani kuwa unaua au unachinja mtu maana si miguno ya karne hii.

Heee!! Hivi hapa mnaongelea nini...!!? Toobaaah kwaherini ngoja nikajiandae na sikukuu ya kesho.

Kaskade.
 
I like you Kasie [emoji23]
 

kuna wengine kimya kama maiti. wala huju kama anaumia au la. hata body language haikuoneshi kujua kama mwenza wako anafaidi au anaumia. mtihani kwlei.
 
Hivi zile kelele huwa zinatoka wapi?
Sometimes sipendi basi tu.

Naweza kukausha kimyaa ukuni ukichochewa naanza kulia kama ndama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…