Utafiti: Sababu ya wanawake kupiga kelele wakati wa kujamiiana

Utafiti: Sababu ya wanawake kupiga kelele wakati wa kujamiiana

hujakutana na mabandidu ambao hawatoi kelele na jicho analitoa kavu kama dagaa wa kigoma au mjusi kabanwa mlangoni.unakapiga mabao mengi hakalali na hakuna kelele wakati watoto wa kichaga ukimpiga vitatu mfululizo atalia yesu yesu yesu na maria mungu wangu mungu wangu he he usitoe usitoe naomba ulimi naomba ulimi nishike matiti matiti he he he asante!!! baada ya hapo analala fofofo kachoka kabisa
 
Kumekuwa na tabia au hali ya wanawake wengi kupiga kelele au unaweza kusema kutoa sauti wakati wakishiriki tendo la ndoa. Hali hii imeacha maswali kama kutoa huko sauti ni jambo la asili au ni mwanamke mwenyewe anaamua hapa atoe sauti na kwingine asitoe.

View attachment 694958

Mwaka 2011 watafiti wawili mmoja kutoka Chuo Kikuu cha Lancashire na mwingine kutoka Chuo Kikuu cha Leeds wote wa nchini Uingereza walichapisha utafiti wao walioufanya uliokuwa ukihusu utoaji wa sauti wa kati wa kujamiina. Walitaka hasa kujua kwanini wanawake hutoa sauti hizo.

Katika utafiti huo, waliwahoji wanawake 71 wenye umri kati ya miaka 18 na 48 ambao hushiriki mapenzi mara kwa mara juu ya utoaji wa sauti wakati wa kujamiiana.

Katika utafiti huo ulibaini kuwa wanawake wengi huto sauti hizo lakini sio pale tu wanapokuwa wamefika kileleni. Asilimia 66 walisema kuwa hutoa sauti wakati wa kujamiina ili kuwasaidia wenza wao kufika kileleni haraka, wakati asilimia 87 walisema kuwa hutoa sauti hizo ili kuwaongezea wenza wao kujiamini kwa kile wanachokifanya kuwa wapo sawa.

Wanawake walieleza kuwa mara nyingi hutoa sauti wakati wenza wao wanapofika kileleni. Baadhi pia walieleza kuwa sauti hizo huwasaidia kuwaondolea uoga walionao, hali ya kutojisikia kuwa sawa, wakati mwingine kuondoa maumivu lakini pia kama njia ya kufurahia raha anayokuwa anaipata.

Aidha, wataalamu hao walisema kuwa kwa vile wanaume wengi huhusisha utoaji wa sauti na mwanamke kufika kileleni, basi baadhi ya wanawake hutoa sauti hizo kwa uongo ili tu kuwaridhisha wenza wao waone kila kitu kipo sawa.

Kwa upande mwingine, imegundulika kuwa wanawake si jamii ya wanyama pekee ambao hutoa sauti wakati wa kujamiiana kwani hata nyani (baboons) wana aina zao za sauti ambazo huzitoa wakati wakijamiiana.

Imeelezwa kuwa wakati mwingine huwa ni vigumu sana kuelezea kila kinachotokea wakati wa kijamiiana kwa sababu kila mtu huwa na utashi wake. Lakini kitu wataalamu walichokubaliana ni kuwa sauti hizo zinaweza kumsaidia mwenza kujua kama anachofanya ni sasa hivyo aendelee au aache, aongeze au apunguze.

Chanzo: Swahili Times
je na wale wanao uma halafu nawapendaga sana anavyoniuma basi mzuka huooooo
 
Ni staili Fulani ya wizi!! Anakuvimbisha kichwa ujione umempekenyua kisawasawa! Wizi MTU hata kukojoa kwenyewe majaliwa! Pochi ya kubwa jinga ndo inaliliwa!
 
Akilia kiukweli maana yake unakatisha katisha safari yake ya kufika kileleni! Kila akikaribia unakosea halafu safari inaanza mwanzo! Hana jinsi maana umemkatili matarajio yake! Akifika halii!! Anachanganyikiwa! Anapiga kelele Fulani hivi amazing! Uso unakunjamana hata akijiona kwenye picha kama utafanikiwa selfie atajishangaa! Anatoa sauti ambazo wakati huo yeye mwenyewe hazisikii!!!
 
Raha zinapozidi. Sauti zinakuja automatic tu.
We ndo wa ukweli! Enzi hizo nilipataga kabinti siku ya kwanza kakaanza mikelele kama ya wacheza filamu za mjini nikajua kabisa haka kananiyeyusha!! Nilivyosimamia vizuri shoo kalijikuta kimebadilika sauti na kurudi kwenye ile ya ukweli ukweli!!
 
Heheheee...
Kuna mahali inafika hata kama ulidhamiria kuwa kimya unajikuta huwezi aiseee lazima utoe sauti...
Hizi mambo bwana umpate mjuzi..!!
 
Back
Top Bottom