UTAFITI: Sinza inaongoza kwa wanawake wazuri dar nzima

Njoo ilala wewe..alaf urudi Tena apa
 
200k kwa siku? acheni kupotosha vijana.
 
Inategemeana na huduma unayo taka
Acheni kupotosha madogo. Vijana wenye consistency ya kutumia 200k kwa ajiri ya kutomba tu ni wachache sana.

Story kama hizo ndio zinasababisha kijana siku kamwotea mhindi kapiga laki 3 yake ya mkeka anaenda kuimalizia kitambaa cheupe ili aonekane anaenda wakat halafu asubuhi anaamka hana kitu, wakati iyo hela ni mtaji wa kuanzisha biashara ndogo ndogo.

Story kama hizi ndio zinasababisha watoto wa kike waache shule, wasifanye kazi halali wakijua udangaji unalipa. Soko la kuhonga lingekua hivyo tungekua na wakina dada wengi wenye pesa, badala yake wengi wao ni ombaomba na single mother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…