Ahahah kabisa mkuu,,,niliacha sinza mwaka 2011, enzi inzo mwamposa kanisa lake liko pale bar ya palestina anaubiri waumini hata mia hawafiki,,,,nikaona ngoja nikajitafute kaskazini,, aseee nikasema DAR hakuna wanawake asee ni umaarufu wa jiji
Kaskazini ni kiboko( arusha)
Waamasai
Waarusha
Wambulu/ wairaq
Warangi
Wapale
Wamarangu
Watu wa tanga
Wote wapo arusha
Alafu hawana time wanauza mitumba, masokon changanyiken habari unayo wewe aseee alafu tumeshazoea hatushtuki wala
Izo rangi za hapo sinza huku ni natural born haswaa imeiva haswaa