UTAFITI: Sinza inaongoza kwa wanawake wazuri dar nzima

Za alasiri wana jf,

Kwa watu tunaoishi dsm huu ndo ukweli mchungu hakuna sehemu inayoongoza kwa pisi kali dar es salaam nzima kuzidi Sinza haipo na haitakaa itokee sio makalio makubwa, shepu nzuri, rangi nzuri, sura nzuri yaani ni hatari wakuu

Kwa wale mabaazazi mnaotafuta vifuta jasho then sinza is the best place hata hivyo hakikisha una zaidi ya 200k ili ufaidi mema ya nchi

Personally nina mpango wa kuhamia huko maana ninapoishi hamna kitu kabisa huku yaani ni vibungo tu

Sinza hata ukihonga roho haikuumi maana umetoa pesa kwa wanawake wazuri
Hujakosea.. Sasa kwa mfano mtu akienda Mbagala na Tandika anakutana na Wandengereko, Wamatumbi na Wangindo wenye shepu ngumu..
 
Za alasiri wana jf,

Kwa watu tunaoishi dsm huu ndo ukweli mchungu hakuna sehemu inayoongoza kwa pisi kali dar es salaam nzima kuzidi Sinza haipo na haitakaa itokee sio makalio makubwa, shepu nzuri, rangi nzuri, sura nzuri yaani ni hatari wakuu

Kwa wale mabaazazi mnaotafuta vifuta jasho then sinza is the best place hata hivyo hakikisha una zaidi ya 200k ili ufaidi mema ya nchi

Personally nina mpango wa kuhamia huko maana ninapoishi hamna kitu kabisa huku yaani ni vibungo tu

Sinza hata ukihonga roho haikuumi maana umetoa pesa kwa wanawake wazuri 😍❤️

Welcome to Sinza
Unatangaza biashara siyo? Ukahaba ni laana fanya kazi halali
 
Siwezi anzisha ukaribu wa kimapenzi na pisi inayoishi sinza abadani.
Kuna siku nipo kwenye daladala natoka pale mwenge tra, Kuna mdada ali kuwa pisi fulani hivi iko soft.

tukawa tuna piga story, aka omba simu Kuna kitu ali kuwa ana hakikisha.
baadae akawa ame enda sehemu ya phone no, aka andika namba Kisha aka smile.

tuna fika sinza hospital ana niambia ana kaa maeneo hayo, nili futa namba 😂🤣
 
Katika miangaiko ya kimaisha kuna kipindi nikajikuta nipo karatu. Kuna vyuma vya kiiraqwi kule halafu wenyewe hata hawana habari. Kwa takribani miezi mitatu niliyokaa kule nilipiga vetting nikaondoka na chuma kimoja mpaka leo ndio wife. Watu hawajatembea ndio maana wanawababaikia hawa mademu wa tabata na sinza
ko makamu wetu wa kataa ndoa, kumbe upo nasi ki nadharia tu😂🤣
 
Tanzania hamna pisi 😹njoo Kenya Nairobi dadek
Acha kudanganya watu, Nairobi hakuna pisi, EA nzima Kenya inaongoza kua na mademu wabovu, nimekula kadhaa wa zile viwanja high class, students, na hata hapa niko hapa Black Samurai, baadae niende Quiver hapo,

lakini nakushauri mtanzania jivunie totoz za huko, si utani Dar kuna totoz za kwenda, huku uzuri ni kiingereza midemu ya hovyo hovyo tu, haivutii

Samahani kwa kusema ukweli
 
Asante
 
Napinga hilo, nairobi pisi zipo za kutosja mkuu.
 
Back
Top Bottom