UTAFITI: Sinza inaongoza kwa wanawake wazuri dar nzima

UTAFITI: Sinza inaongoza kwa wanawake wazuri dar nzima

Mkuu ukweli mchungu ila malaya wengi ni wazuri kuliko wanawake zetu na sinza ina malaya kweli kweli, so hata wauzaji ni pisi kali tena kali kuliko hata hawa wanawake zetu wenye vichwa kama Landrover diffender
Hahaha
 
Za alasiri wana jf,

Kwa watu tunaoishi dsm huu ndo ukweli mchungu hakuna sehemu inayoongoza kwa pisi kali dar es salaam nzima kuzidi Sinza haipo na haitakaa itokee sio makalio makubwa, shepu nzuri, rangi nzuri, sura nzuri yaani ni hatari wakuu

Kwa wale mabaazazi mnaotafuta vifuta jasho then sinza is the best place hata hivyo hakikisha una zaidi ya 200k ili ufaidi mema ya nchi

Personally nina mpango wa kuhamia huko maana ninapoishi hamna kitu kabisa huku yaani ni vibungo tu

Sinza hata ukihonga roho haikuumi maana umetoa pesa kwa wanawake wazuri 😍❤️

Welcome to Sinza
Vijana wa sikuhizi kazi kweli kweli,
 
Mkuu hakikisha UNA MKUMBUKA NA TRUMP ,,, na hivi vidonge ni mwaka huu na hapa ni kwasababu ya UCHAGUZI ila mwakan kidonge ki 1 ni 100000
 
Lakini wana Tattoo mgongoni,shingoni,mikononi ,mapajani ,Nafikiri Sinza wanapenda sana wadudu na wanyama maana tatoo zao sasa Nge ,Kobra hasa mgongoni,kipepeo,mjusi
Na Vikuku miguuni kama wacheza ngoma za kitamaduni
 
Back
Top Bottom