Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Unahitimisha wakati unaowaona hao ni wafanyabiashar mwisho wa siku wanarudi kwao vikindu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehee kumbe mwenyeji wangu nae ni mgeniwageni wanaelekezana maisha ya Dar, unchecked😡
HeheheNenda jukwaa la siasa
HeheheHehee kumbe mwenyeji wangu nae ni mgeni
Yule.... Dish lilikuwa limeyumba humu JF mademu wengi wana matatizo. Sirudii tena
Vijana wa sikuhizi kazi kweli kweli,Za alasiri wana jf,
Kwa watu tunaoishi dsm huu ndo ukweli mchungu hakuna sehemu inayoongoza kwa pisi kali dar es salaam nzima kuzidi Sinza haipo na haitakaa itokee sio makalio makubwa, shepu nzuri, rangi nzuri, sura nzuri yaani ni hatari wakuu
Kwa wale mabaazazi mnaotafuta vifuta jasho then sinza is the best place hata hivyo hakikisha una zaidi ya 200k ili ufaidi mema ya nchi
Personally nina mpango wa kuhamia huko maana ninapoishi hamna kitu kabisa huku yaani ni vibungo tu
Sinza hata ukihonga roho haikuumi maana umetoa pesa kwa wanawake wazuri 😍❤️
Welcome to Sinza
😂😂Muongo huyo
Tupo kwenye ndoa mtumishWaliookoka hawatombi/