Utafiti: Tanzania yajiandaa kuiteka dunia

Utafiti: Tanzania yajiandaa kuiteka dunia

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447
Kuna uwezekano baada ya miaka mitano Tanzania itakuja kuwa super power sio Africa tu bali duniani kote.

Nchi kama China, USA, Russia zimeanza kuiangalia Tanzania kwa jicho la tatu hii imekuja baada ya kuonekana kwa kasi ya maendeleo ktk nchi hii yenye watu wenye akili tele

Pia ukosefu wa ajira kwa wahitimu umepelekea watanzania wengi kuwa wabunifu wa kujiajili wengi wakiamua kuwa wakulima, wengine matapeli, wengine kuwa Sungusungu na wengine kuwa waganga wa kienyeji.

Pia ukosefu wa ajira umepelekea kuzuka kwa taasis mbalimbali kama CHAPUTA, UWABATA na nyinginezo ambazo zote mda c mrefu zitaanza kulipia kodi

Tujivunie kuwa watanzania, yajayo yanafurahisha.......


Kwa yeyote mwenye idea ya maendeleo asikose kusharea hapo chin ili tuzid kulisongesha

Picha hapo chini yaonesha taswira ya mkoa wa Shinyanga baada ya miaka kumi na tano

FB_IMG_1619242809933.jpg
 
Back
Top Bottom