Utafiti: Top 10 ya mikoa yenye wanawake wenye sura nzuri

Nakubalia na kote ila dodoma hapana ni kijisehemu kidogo sana.
 
Ni kweli mkuu musoma kuna wanawake wa kijita warembo sana
 
Ni kweli mkuu musoma kuna wanawake wa kijita warembo sana

Hapo kwenye 'Wajita ' umekosea Mkuu ila wenye ' Uzuri ' ni Wanawake wa Kabila la ' Wazanaki ' pekee. Chunguza utakubaliana na Mimi. Wazanaki ni Wazuri mno na hata Wanaume wa Kizanaki wote ni ' Mahendisamu '.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…