Afyayaakili
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 924
- 1,263
Nakubalia na kote ila dodoma hapana ni kijisehemu kidogo sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu musoma kuna wanawake wa kijita warembo sanaNa labda tuongezee tu kuwa nje ya kuwa na hizo Sura zao nzuri wa Arusha na Kilimanjaro ni ' Wezi ' wazuri tu, huku wa Manyara na Singida ni ' vichenchede ' tupu, wa Tanga, Pemba na Unguja ni ' Walozi / Vigagula ' wazuri tu, wakati wa Tabora na Dodoma ni ' walafi ' kupindukia na wa Dar ambao ni Wazaramo ni ' wachafu ' mno.
Binafsi nimetembea Mikoa mingi sana nchini Tanzania ila sijawahi kupata kuona Mkoa wenye Wanawake ' wazuri ' na ' warembo ' kama wa kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) na sishangai ndiyo maana hata siku hizi Wanaume wengi wanakimbilia sana kwenda kuoa Wanawake wa huko ( Mara ).
Ni kweli mkuu musoma kuna wanawake wa kijita warembo sana