Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Kweli tupu[emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warangi!!!!!Kuna kaukweli hapo ila dodoma sina hakika sana
Wanazaanaje?Chato nayo ina wanawake kumbe!
Niaje chalii araaKas kazi hoiyeeeerrrrr....
Na usingeiweka Rchuga ningeandamana
Tatzo sio uwepo wa wanawake,Wanazaanaje?
mkuu dodoma wapo wale wanaoishi kondoa ,,,ni wazuri hatari alafu kama wamemix na shombe la kiarabuKuna kaukweli hapo ila dodoma sina hakika sana
tanga bwanaUchagani eee
Mr researcher weka na ya wanaume warembo.
Dar wahamiaji na wazamiaji wengi!Ugomvi wa wanawake wa Dar utauweza? ?
utafiti uchwaraaa!Nilitaka kushangaa mkoa wangu usiwepo hivi tang'ana una ubia na twaweza nini kila siku unakuja na tafiti zako
Ila Chugaaraaa kuna watoto aseehDar wahamiaji na wazamiaji wengi!
Kitu asili mkuu...
Hahahhhh