UTAFITI: Ukweli kuhusu watumiaji wa JamiiForums

JF ni chaka la maana sana. Bila hii ningekutana wapi na kaka mzuri mimi? Hata katika maisha ya kawaida sehemu anazoenda sikanyagi... kwa kipi? Ni Mungu tu.

Naunga mkono hoja 100%
Jf for life
 
Hii ni kweli nimekuwa nikisearch vitu vingi sana google lakini nimekuta ikinionesha kwamba kuna platform wamewahi jadili kuhusu hilo nalotaka kujua ....apo ndipo nikaingia interest kusign up uku jf
 
Hii ni kweli nimekuwa nikisearch vitu vingi sana google lakini nimekuta ikinionesha kwamba kuna platform wamewahi jadili kuhusu hilo nalotaka kujua ....apo ndipo nikaingia interest kusign up uku jf
Good....
 
Kiukweli si wanawake si wanaume......humu ndani ni full maokoto....afu wastaarabu....ukiona mtu humu Hana maneno ya hekima ujue tu ni kina sisi mwajuma ndala ndefu🙄
 
Hii ni kweli nimekuwa nikisearch vitu vingi sana google lakini nimekuta ikinionesha kwamba kuna platform wamewahi jadili kuhusu hilo nalotaka kujua ....apo ndipo nikaingia interest kusign up uku jf
Usiandike mbeya Kama haupo mbeya
 
Best forum ever in tz, hakuna kama jf . Kuna madini ambayo si rahisi kupata sehemu nyingine. Jf ni Zaid ya social media kama utaitumia vizuri. Judge , jury and executioner.
 
JF ni chaka la maana sana. Bila hii ningekutana wapi na kaka mzuri mimi? Hata katika maisha ya kawaida sehemu anazoenda sikanyagi... kwa kipi? Ni Mungu tu.

Naunga mkono hoja 100%
Hauna mdogo wako wa kike ?
 
Frankly, ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya watu wa JF wapo vizuri na wala hawajikwezi kama ambavyo tunadhani.

Huu ni ukweli nilioupata[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo mwaka najiunga JF ndiyo chadema wako onfire siyo poa....Jf nayo iko hot kwenye siasa mabraza ndiyo wamezikamata so mikutano mingi ya siasa ilikuwa inaanzishiwa nyuzi humu live kabisa ndiyo ikawa chanzo cha mimi kujikita humu.
Ila sijawahi kupata manzi humu sijui kwa kuwa sijiweki matawi alafu mbahili.
 
nimecheka kwa sauti nani the bold au who else?
Weee kumbe Nifah ni chakula ya habibu aka the bold.. umempeleka wapi huyu jamaa??

Tatizo jf wabaili sana wangemuachaga aendelee kula zile buku 5 zetu za stori zake za kijasusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…