Utafiti usio rasmi: Wake za watu wengi wanasaliti ndoa zao

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Utafiti usio rasmi ambao umefanywa na taasisi moja ya utafiti wa mahusiano na usaliti umeonyesha kua wake za watu wengi beki hazikabi.

Utafiti huo ambao umefanyika kwa usiri mkubwa, watahiniwa wengi wakiwa ni wake za watu wamekiri kua wamewahi kusaliti ndoa zao mara moja au zaidi na wengine wakasema bado wako tayari kusaliti ndoa zao kwa siku za usoni pale ambao fursa itajitokeza.

Sababu zilizotolewa na watahiniwa kwa nini wanasaliti ndoa zao, wengi walisema ni kutafta faraja nje ya ndoa baada ya kuikosa ndani ya ndoa, kutafta faraja ya kingono kwani kwenye ndoa wahapati raha ya kingono kutoka kwa waume zao.

Sababu nyingine ilikua ni kulipa visasi vya usaliti kutoka kwa waume zao na wengine wakasema ni kutafta fursa za kikazi kama vile kulinda nafasi zao za kazi ama kupata nafasi ya kikazi.

Utafiti huo utafanyika hivi karibuni kwenye vyombo mbalimbali vya habari.

Je wewe unakubaliana utafiti huo?
 
Ni kweli, wengine Waume zao hawawageuzi ila huko nje wanageuzwa na wakiulizwa na Waume zao wanasema ni kwa sababu ya kuzaa. Mwanaume usimwamini mwanamke.
 
Wakuu poleni na harakati kibao zaki maisha. Mchango wangu katika hili mimi naona linatokana na wanaume kwa wanawake zaidi waliopo kwenye ndoa kuwa na msongo wa mawazo kutokana na hali za maisha. Wanaume wamekuwa watu wa stress kimya kimya baada ya hali ya uchumi wa kati kuwa ngumu kila siku huku majukumu ya kuangalia familia, ndugu na maswala mengine ya jamii kuwa yapo pale pale.
Tuna ishi kwa hopes kuwa kesho itakuwa nafuu ila hali kila siku ina zidi kuwa tight mishe mishe za hapa na pale za kupata chochote kitu mbali na mshahara imekuwa ngumu. Ukirudi nyumbani watoto nao wanadai mahitaji yao wife nae anataka haki yake mixer akupe list ya mahitaji ya familia bado yake kama mke. Hapo hata mzuka wa kupiga show ya maana ina toka wapi matokeo yake ndio ile mtu ana wiki nzima haja gusa hata kimoja mzuka hamna raha ya tendo hamna mtu ana waza jinsi ya kutimiza mahitaji yake. Na kama inavyo eleweka lile tendo lina hitaji utulivu na faraga nyingi, sasa utulivu unatoa wapi huku ada una daiwa, kodi ya nyumba wewe chakula wewe.
Hapo sasa ndio masela mtaani na madereva toyo wanapiga wake za watu. Yote haya ni maisha kubadilika mifuko haina kitu. Hili zaidi wanaume wana ngangana jinsi wata endesha familia zao. Sio kila mwanaume unapo ona karudi jioni kalewa ana lewa kwa raha ni kujaribu kupoteza mawazo kuwa ana daiwa au majukumu yana mwandama tatizo ana kuwa kachagua solution ya mda mfupi kulewa. Huku deni la haki kwa mke tendo halipi uchovu kila siku, ulevi na mawazo.
 
Mkuu unapata wap nguvu .......ya kufanya utafti wakat Taifa lipo kwny hali ngumu
 
Jana jamaa yangu kapiga mke wa mtu kirahisi tu. Sababu aliyotoa Mrs X no kuwa mumewe hajampa haki ya tendo la ndoa kwa miez mitano Sasa. Pia anahisi jamaa ana nyumba ndogo
 
Wakuu poleni na harakati kibao zaki maisha. Mchango wangu katika hili mimi naona linatokana na wanaume kwa wanawake zaidi waliopo kwenye ndoa kuwa na msongo wa mawazo kutokana na hali za maisha. Wanaume wamekuwa watu wa stress kimya kimya baada ya hali ya uchumi wa kati kuwa ngumu kila siku huku majukumu ya kuangalia familia, ndugu na maswala mengine ya jamii kuwa yapo pale pale.
Tuna ishi kwa hopes kuwa kesho itakuwa nafuu ila hali kila siku ina zidi kuwa tight mishe mishe za hapa na pale za kupata chochote kitu mbali na mshahara imekuwa ngumu. Ukirudi nyumbani watoto nao wanadai mahitaji yao wife nae anataka haki yake mixer akupe list ya mahitaji ya familia bado yake kama mke. Hapo hata mzuka wa kupiga show ya maana ina toka wapi matokeo yake ndio ile mtu ana wiki nzima haja gusa hata kimoja mzuka hamna raha ya tendo hamna mtu ana waza jinsi ya kutimiza mahitaji yake. Na kama inavyo eleweka lile tendo lina hitaji utulivu na faraga nyingi, sasa utulivu unatoa wapi huku ada una daiwa, kodi ya nyumba wewe chakula wewe.
Hapo sasa ndio masela mtaani na madereva toyo wanapiga wake za watu. Yote haya ni maisha kubadilika mifuko haina kitu. Hili zaidi wanaume wana ngangana jinsi wata endesha familia zao. Sio kila mwanaume unapo ona karudi jioni kalewa ana lewa kwa raha ni kujaribu kupoteza mawazo kuwa ana daiwa au majukumu yana mwandama tatizo ana kuwa kachagua solution ya mda mfupi kulewa. Huku deni la haki kwa mke tendo halipi uchovu kila siku, ulevi na mawazo.
Hii ni kweli kabisaaa kwenye ndoa huku kwa ambao tuna familia ngumu kidogo kufurahia tendo maana maisha tight mambo mengi so muda wote kichwa kina stress
 
Daaaah mimi nmetunukiwa tunda na mke wa mtu sababu tu kwamba jamaa hamfikishi na pia demu anatoka chunusi sanaaa hahahaa sababu za ajabu sanaaaa
 
Back
Top Bottom