The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Utafiti usio rasmi ambao umefanywa na taasisi moja ya utafiti wa mahusiano na usaliti umeonyesha kua wake za watu wengi beki hazikabi.
Utafiti huo ambao umefanyika kwa usiri mkubwa, watahiniwa wengi wakiwa ni wake za watu wamekiri kua wamewahi kusaliti ndoa zao mara moja au zaidi na wengine wakasema bado wako tayari kusaliti ndoa zao kwa siku za usoni pale ambao fursa itajitokeza.
Sababu zilizotolewa na watahiniwa kwa nini wanasaliti ndoa zao, wengi walisema ni kutafta faraja nje ya ndoa baada ya kuikosa ndani ya ndoa, kutafta faraja ya kingono kwani kwenye ndoa wahapati raha ya kingono kutoka kwa waume zao.
Sababu nyingine ilikua ni kulipa visasi vya usaliti kutoka kwa waume zao na wengine wakasema ni kutafta fursa za kikazi kama vile kulinda nafasi zao za kazi ama kupata nafasi ya kikazi.
Utafiti huo utafanyika hivi karibuni kwenye vyombo mbalimbali vya habari.
Je wewe unakubaliana utafiti huo?