Utafiti wa bikira unguja wako njema

Utafiti wa bikira unguja wako njema

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
1,577
Reaction score
1,702
UTAFITI KILA MKOA JUU YA WATOTO WAKIKE WANAOJITUNZA,

UTAFITI HUU UMEHUSU WASICHANA WANAOFIKA UMRI WA MIAKA 25 WAKIWA BIKIRA, ( VIRGINITY PERCENTAGE AT 25 YEARS OLD)

KATI YA WATU MIAMOJA WAFUATAO WAMETIMIZA UMRI WA 25 WENGINE HADI KUOLEWA, WAKIWA BIKIRA,

NJIA YA UTAFITI

KILA MKOA WAMEKUWEPO SAMPLE SPACES 500, YAAN WANAWAKE 250, NA WANAUME 250( LENGO LA WANAUME NI KUWAULIZA WALIPOOA WALIWAKUTAJE, ILIKUWA SIRI,)

PIA NA KUWAULIZA WANAWAKE,
KWA NJIA YA KIUNGWANA,

Takwimu ni kama hivyo, pemba ndo yenye wasichana wengi wanaofika umri wa 25 wakiwa Na bikira Na dar es salaam ndo yenye wasichana wachache wanaofika umri wa miaka 25 wakiwa Na bikira,

1. Pemba 45%
2. Unguja 43%
3. Manyara 27%
4. Mara 26%
5. Tabora 22%
6. Dodoma 20%
7. Geita 19%
8. Shinyanga 16%
9. Kigoma 15.7%
10. Simiyu 15.5
11. Morogoro 15
12. Kilimanjaro 14%
13. Rukwa 14%
14. Ruvuma 13.7%
15. Mbeya 13.5%
16. Iringa 13.2%
17. Kagera 13%
18. Katavi 12%
19. Mtwara. 11.6%
20. Pwani 11%
21. Njombe 9%
22. Tanga 8.5%
23. Arusha 8.3%
24.Lindi 8%
25. Singida 7
26. Mwanza 5%
27. Dar es salaam 3%

Ijulikane kwamba huu utafiti itasaidia wazazi kuwahasa watoto wao kutojihusisha Na mapenzi wakiwa wadogo ,pili kuwaepusha Na mazingira yanayoweza kuhatarisha usichana wao,

Pia watoto wakike wajue kuwa si vyema kupenda chips mayai, rift , Na kupenda alama za juu darasan wakati hawasomi, hayo yanapelekea kuwaondolea usichana wao, Na kuolewa wakiwa thamani yao imeshuka

Pili watoto wa kike wanapoteza sana usichana wao wakiwa mashuleni, vyuoni wengine mpaka makanisani ,
Pengine watoto wanaruhusiwa kupanga nyumba wakiwa wadogo sana,

Kauli mbiu:
Tokomeza ukatiri dhidi ya mtoto wa kike Linda Usichana wake,
Mtunze Na mlinde mdogo wako wa kike Na jirani yako wa kike dhidi ya wahuni

Nimeikopi sehem
 
Wasubiri utafiti wa wana CHAPUTA nione jinsi wanachama wanavyoongezeka kwa kasi ya Makinikia kila siku
 
Ila Kwa Dar wengi wao wazaramo
Sisi wahamiaji tu
 
Back
Top Bottom