Mti mbenge ni mti ambao unamahusiano zaidi na maji na unapoota au kupandwa eneo hlo lazima patokee chemchemu ndogo ambayo watu wataweza kuchimba kisima na kujipatia maji. Labda naomba kama kuna mtu amewahi kufanyia tafiti mti huu kwa umakini? Naomba na jina lake la kisayansi. Naomba msaada zaidi ili kuendelea na utafiti wangu.