Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume.
Kwa mujibu huo wa The Kennel Club inayotambulika duniani kwa jukumu la kusimamia shughuli mbalimbali za mbwa zinasema, asilimia 60 mpaka 70 wanawake single wanachugua mbwa kuliko mwanaume.
Pia wamiliki wengi wa wanyama wanaona Mbwa wake/wao ni bora kuliko kuchagua mpenzi sababu Mbwa ana upendo mkubwa na huepuka uhusiano na wanaume.
Delusional ya wanawake inaendelea kwa kasi kubwa na wala hawaelewi kuwa wanapelekwa pabaya! Yaani mbwa awe ndo mbadala wako mkubwa wa familia kuliko kuwa na watu!?
Karibu kwenye dunia ambayo Mwanaume akisema anapenda kutumia muda mwingi kucheza EA Sports, Call of Duty pamoja na PUBG anaonekana ana tatizo la afya ya akili ila mwanamke ambaye anatumia muda mwingi anaonekana anajali nature.